NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Nawashangaa wakristo waliokbali kufunga ndoa kwa imani ya kikristo wanaenda kinyume na sheria za kuvunja ndoa, sheria pekee iliyouhuswa ni uasherati lakini wao wanajionhezea vijisababu vyao,,
kuna hizi sababu nje ya biblia nimeshaona zikipelekea ndoa kuvunjika
-Kukosa amani ndani ya ndoa
-Wanawake wanabadilika baada tu ya kufunga ndoa.
-kuchokana na vurugu ndani ya ndoa
-wanandoa huvunja ndoa kwa kuhisi au kugundua mwenzake ni mchawi
-wanandoa huvunja ndoa kwa kuona mwenzake hapendi ndugu zake
n.k......
Hizi ni sababu ambazo hazijaruhusiwa kabisa lakini nashangaa kuna ndooa za ikristo zinavunjika kwa hizi sababu