Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elewa ndugu mchawi, muongo, mzizi, mfitini wote tupo kundi mmoja na MUNGU anatupenda na kutulisha wotekwanini wakristo ambao wanakuja kugundua wameoa wake wachawi hawataki kuishi nao tena, unakuta mwanamke mchawi kamfanya ndondocha mama wa mme wake, kwanini anaachwa ??
Kumbe wameandika nan biblia maana wayahudi hawaitumii na wao sio wakristo?...KUULIZA SIO UJINGABiblia haikuandikwa na Wazungu. Wazungu wameipokea tu kama sisi, sema wao ilikuwa mapema.
Wengi hudhani ukristo ulianza na wazungu...!
Zaidi ya uasherati!!!Kukosa amani ndani ya ndoa ni ishu kubwa kama vile uasherati
SjakusomaDuuh mpaka kwenye masuala ya ndoa una apply khaki za mbowe
Nadhani huelewi tofauti ya mambo. Wakristo hawafungwi na torati. Ndio maana huwezi mkuta mkristo anampiga mawe mchawi japo torati inaamuru hivyo.Sheria zipo kwenye Torati tuu huko kwengine ni mafundisho na maoni ya mitume na manabii.
Acha kudanganya watu. Na haya ni maoni ama? Au na Biblia nayo haielewi dini?Mfano Mtume Paulo Kwa sehemu kubwa alikuwa anatoa maoni yake zaidi ambayo watu wengi hasa Wakristo wasioelewa Dini wanafikiri maoni yake ndio SHERIA.
Haya pingana na Yesu hapo...Hata Yesu katika Injili hakuleta Sheria yoyote mpya isipokuwa alikuwa anatimiliza sheria
unamtaja maguful kwenye wakat watu wanazungumzia masuala ya ndoa ndo nauliza una apply khaki za mbowe?Sjakusoma
Biblia imeandikwa na Wayahudi. Ile sehemu ya kwanza ambayo tunaifahamu kama agano la kale ndio haswa Biblia ya Wayahudi yaani Tanakh. Wayahudi hawaamini agano jipya. Ila wapo Wayahudi wakristo pia, usisahau hilo.Kumbe wameandika nan biblia maana wayahudi hawaitumii na wao sio wakristo?...KUULIZA SIO UJINGA
Hahahahahunamtaja maguful kwenye wakat watu wanazungumzia masuala ya ndoa ndo nauliza una apply khaki za mbowe?
Uasherati it means umefunga ndoa na ndugu yako hii ndoa inakataliwa.Kwanza tupe maana ya uasherati na uzinzi. Ukielewa hayo ndipo utakuwa maana halisi ya hicho unachotaka kuongelea.
Uasherati maana yake ni tendo la ndoa linalofanywa na watu ambao sio wanandoa.
Uzinzi maana yake ni kwamba tendo la ndoa linalofanywa na wanandoa.
Siyo ndoa za wakristo ongelea Dini yako ikiwa miongoni mwa madhebu ya kikirsto yanatumia ndoa kama agono lisolovunjwa ndo unaweza kusema hivyo ndoa haivunjwi hata kama Kuna mambo yanayoumiza wanandoa hao, madhehebu mengine japo ya kikirsto yanavunja ndoa na Haina haja yakusubiri kibali kutoka ngazi za juu na viongozi wao wapo nchini hapahapa ndoa ikishindikana inavujwa tu kwani kwanini mtu alazimishe au ajumlishe madhehebu yote ya kikirsto hayana kibali cha kuvunja ndoa? Na kwanini ulazimishe ndoa na mtu aliye na matendo mabaya na kutaka watu waamini ni madhehebu yote ya kikirsto yanalamisha hivyo? Hakuna kitu kama hicho.Nawashangaa wakristo waliokbali kufunga ndoa kwa imani ya kikristo wanaenda kinyume na sheria za kuvunja ndoa, sheria pekee iliyouhuswa ni uasherati lakini wao wanajionhezea vijisababu vyao,,
kuna hizi sababu nje ya biblia nimeshaona zikipelekea ndoa kuvunjika
-Wanawake wanabadilika baada tu ya kufunga ndoa.
-kuchokana na vurugu ndani ya ndoa
-wanandoa huvunja ndoa kwa kuhisi au kugundua mwenzake ni mchawi
-wanandoa huvunja ndoa kwa kuona mwenzake hapendi ndugu zake
n.k......
Hizi ni sababu ambazo hazijaruhusiwa kabisa lakini nashangaa kuna ndooa za ikristo zinavunjika kwa hizi sababu
Nadhani kuna vitu u can't let it go, Mpaka Mtu anafikia kuacha/kuua ni kwamba yamemfika sehemu ya no point of returning.Zaidi ya uasherati!!!
Kwa nin unakosa Aman ni kwa sababu hataki kusamehe and let things go!
Nani kaamuliwa hivyo? Ni amri kwenda kwa nani?Imeandikwa usimuache mwanamke mchawi akaishi....hii imekaaje
Uyahudi ni kabila ,asili au dini ?Biblia imeandikwa na Wayahudi. Ile sehemu ya kwanza ambayo tunaifahamu kama agano la kale ndio haswa Biblia ya Wayahudi yaani Tanakh. Wayahudi hawaamini agano jipya. Ila wapo Wayahudi wakristo pia, usisahau hilo.
Petro alikuwa Myahudi, Yohana, Yakobo, Andrea, Marko, Batholomeo, Filipo, ... Mariamu Magdalena, Mariamu wa Heli na wengine wengi!
Watu wengi hawajui tofauti ya uasherati na uzinzi?Nadhani kuna vitu u can't let it go, Mpaka Mtu anafikia kuacha/kuua ni kwamba yamemfika sehemu ya no point of returning.
Mbona nimeambukizwa ukimwi na mume wangu na nimesamehe...tuko happy tunachukuliana ARV?Nadhani kuna vitu u can't let it go, Mpaka Mtu anafikia kuacha/kuua ni kwamba yamemfika sehemu ya no point of returning.
Yaah hao wayahudi ndio ila kwan hao ndo wameandika biblia Maana wayahud wanamngoja masiha wanasema yesu sie japo wanakubali alikuwa muhubiri mzuri...MI NAJIFUNZA NIELEWESHEBiblia imeandikwa na Wayahudi. Ile sehemu ya kwanza ambayo tunaifahamu kama agano la kale ndio haswa Biblia ya Wayahudi yaani Tanakh. Wayahudi hawaamini agano jipya. Ila wapo Wayahudi wakristo pia, usisahau hilo.
Petro alikuwa Myahudi, Yohana, Yakobo, Andrea, Marko, Batholomeo, Filipo, ... Mariamu Magdalena, Mariamu wa Heli na wengine wengi!
Hiyo agano la kale weka kando, tunaishi agano jipya our role model is Jesus Christ,
Hata hao wachawi Yesu anawapenda na huwalisha kama anavyomilisha Magufoool mwenye chuki na marytina mjaa fitina na majungu ofisini
Naomba unipe utofauti bossWatu wengi hawajui tofauti ya uasherati na uzinzi?