Hao hawavunji ndoa bali wanatengana tu! Ndoa iko pale paleNashangaa wakristo wengi waliokbali kufunga ndoa za kikristo wanaenda kinyume na sheria za kuvunja ndoa, sheria pekee iliyouhuswa ni uasherati,,,
kuna hizi sababu nje ya biblia nimeshaona zikipelekea ndoa kuvunjika
-Wanawake wanabadilika baada tu ya kufunga ndoa.
-kuchokana na vurugu ndani ya ndoa
-wanandoa huvunja ndoa kwa kuhisi au kugundua mwenzake ni mchawi
-wanandoa huvunja ndoa kwa kuona mwenzake hapendi ndugu zake
n.k......
Hizi ni sababu ambazo hazijaruhusiwa kabisa lakini nashangaa kuna ndooa za ikristo zinavunjika kwa hizi sababu
Ndoa ya Kikristo haina talaka kwa sababu yoyote ile. Kinachoruhusiwa ni kutengana na kutoishi pamoja. Ila bado ndoa ipo palepale!Nawashangaa wakristo waliokbali kufunga ndoa kwa imani ya kikristo wanaenda kinyume na sheria za kuvunja ndoa, sheria pekee iliyouhuswa ni uasherati lakini wao wanajionhezea vijisababu vyao
Hiyo ni ligha baba. Haina uhusiano mambo ya kabisa.mara ya mwisho kwenda hata kanisani ilikuwa lini ??
nahisi biblia huna aisee,,, uzinzi ni tendo la ndoa linalofanywa na wanandoa 😳😳😂😂😂😂😂
Hiyo agano la kale weka kando, tunaishi agano jipya our role model is Jesus Christ,Imeandikwa usimuache mwanamke mchawi haishi.....sijui walifikiria nini hawa wadhungu
Biblia haikuandikwa na Wazungu. Wazungu wameipokea tu kama sisi, sema wao ilikuwa mapema.Imeandikwa usimuache mwanamke mchawi haishi.....sijui walifikiria nini hawa wadhungu
Kumbe Kuna updated version ya bible mwakani itatoka mpya ,hizi ni biashara za watuHiyo agano la kale weka kando, tunaishi agano jipya our role model is Jesus Christ,
Hata hao wachawi Yesu anawapenda na huwalisha kama anavyonilisha Magufoool mwenye chuki.
Hujui unachojielezea I am sorry for your selfKumbe Kuna updated version ya bible mwakani itatoka mpya ,hizi ni biashara za watu
Ndoa ya Kikristo haina talaka kwa sababu yoyote ile. Kinachoruhusiwa ni kutengana na kutoishi pamoja. Ila bado ndoa ipo palepale!
kwanini wakristo ambao wanakuja kugundua wameoa wake wachawi hawataki kuishi nao tena, unakuta mwanamke mchawi kamfanya ndondocha mama wa mme wake, kwanini anaachwa ??Hiyo agano la kale weka kando, tunaishi agano jipya our role model is Jesus Christ,
Hata hao wachawi Yesu anawapenda na huwalisha kama anavyomilisha Magufoool mwenye chuki na marytina mjaa fitina na majungu ofisini
Duuh mpaka kwenye masuala ya ndoa una apply khaki za mboweHiyo agano la kale weka kando, tunaishi agano jipya our role model is Jesus Christ,
Hata hao wachawi Yesu anawapenda na huwalisha kama anavyomilisha Magufoool mwenye chuki na marytina mjaa fitina na majungu ofisini