Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
Kwenye ofisi za CHAUMMA mkoa wa Mara kuna bodaboda wamejaa muda huu wanataka posho zao za mafuta waliyotumia kwenda kwenye mkutano wao leo
Picha, videoKwenye ofisi za chauma mkoa wa Mara kuna bodaboda wamejaa muda huu wanataka posho zao za mafuta waliyotumia kwenda kwenye mkutano wao leo
Weka picha babu, maana chadomo hamuaminikiKwenye ofisi za chauma mkoa wa Mara kuna bodaboda wamejaa muda huu wanataka posho zao za mafuta waliyotumia kwenda kwenye mkutano wao leo
Video zinakujaPicha, video
😆😆😆Tulia mkuuWeka picha babu, maana chadomo hamuaminiki
Mkuu iki chama walioenda uko wamejichanganyaMwisho wa ubaya ni aibu
Chauma waache utapeli walipe vijana pesa zaoKwenye ofisi za CHAUMMA mkoa wa Mara kuna bodaboda wamejaa muda huu wanataka posho zao za mafuta waliyotumia kwenda kwenye mkutano wao leo
View attachment 3356060
Chauma kimeumana, kimekuwa cha kijikoNilipe nisepe
Ukitaka kua mbaya dai chako
Chauma chaumana 🤣🤣
Aende Kule kiembesamakiHuyo Mwalimu kiukweli hana kismati cha siasa. Aache tuu siasa.
Nao wanafamilia jamani watoeni vijana,kuna Kesho ndo kwanza tunajenga chama
Ni zaidi ya aibu mkuuWananchi wanashurutishwa walipe kodi kisha pesa zao zinatumika ndivyo sivyo halafu bado kuna machawa wapumbavu wanalaumu wazungu kwa madhila wanayopitia. Bure kabisa.
😃😃😃😃😃😃😃😃Boda wanapewa buku 7 na wanatukana matusi balaaa
Chama hakina pesa mkuuNao wanafamilia jamani watoeni vijana,kuna Kesho ndo kwanza tunajenga chama