VP mfadhili hajafungua wallet bado au yuko na gwajimanismChama hakina pesa mkuu
Ukute wametoswaVP mfadhili hajafungua wallet bado au yuko na gwajimanism
ni mpumbavu wacha afanye siasa ngumu muda si mrefu atabwaga manyanga na kukimbilia ccmHuyo Mwalimu kiukweli hana kismati cha siasa. Aache tuu siasa.
ni mpumbavu wacha afanye siasa ngumu muda si mrefu atabwaga manyanga na kukimbilia ccm
Kwenye ofisi za CHAUMMA mkoa wa Mara kuna bodaboda wamejaa muda huu wanataka posho zao za mafuta waliyotumia kwenda kwenye mkutano wao leo
View attachment 3356060
Lazma muhasibu kapiga hesabu kawaona ni liabilitiesUkute wametoswa
Posho ya 7500Wanasubiria foleni ya ubwabwa au?
Toka yuko channel 10 kwa masuala ya mpira sikuwa namuelewa. Hana mvuto wowote hata kisiasa.Huyo Mwalimu kiukweli hana kismati cha siasa. Aache tuu siasa.
nani atawachangia washenzi hao? Wameingia huko kuharibu chama cha mzee wa watu bora angeendelea na ubwabwa wake tu kuliko kupokea genge hilo lilioasi chademaNao waanzishe Tone tone
Mola atawajaalia inshaallah.Kwenye ofisi za CHAUMMA mkoa wa Mara kuna bodaboda wamejaa muda huu wanataka posho zao za mafuta waliyotumia kwenda kwenye mkutano wao leo
View attachment 3356060
Kumbe chauma ndio kimeanza🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Achaneni na CHAUMMA pambanie RUZUKU msajili asije akazifyekelea mbali ,sasa unataka kusema katika maandalizi ya mkutano hakuna boda boda ,magari ,wapambaji etc walitumia nguvu kufanikisha? Viti walibeba kina nani? Wasilipwe? Hata CDM 2005 walivyoanza mbowe nakumbuka alifanya mkutano manzese watu walikuwa wachache tu ,so kwa CHAUMMA kwa watu wale wameanza vizuri.
Mambo ya kuzomea kwenye mikutano hiyo ni propaganda za kijinga ,wapo watu wanalipwa ili waende kuzomea ,mtu ambaye mwenye akili hawezi kwenda kwenye mkutano kwa ajili ya kwenda kuzomea kama alikuwa hataki ilikuwa option ya kutoenda.
Acha uchawa mjinga wewe fanya kaziAchaneni na CHAUMMA pambanie RUZUKU msajili asije akazifyekelea mbali ,sasa unataka kusema katika maandalizi ya mkutano hakuna boda boda ,magari ,wapambaji etc walitumia nguvu kufanikisha? Viti walibeba kina nani? Wasilipwe? Hata CDM 2005 walivyoanza mbowe nakumbuka alifanya mkutano manzese watu walikuwa wachache tu ,so kwa CHAUMMA kwa watu wale wameanza vizuri.
Mambo ya kuzomea kwenye mikutano hiyo ni propaganda za kijinga ,wapo watu wanalipwa ili waende kuzomea ,mtu ambaye mwenye akili hawezi kwenda kwenye mkutano kwa ajili ya kwenda kuzomea kama alikuwa hataki ilikuwa option ya kutoenda.
wamechoka mapema hata kampeni hazijaanza, sijui watapata wapi hela za kuendesha kampeni za mbwembwe mbuzi wale waliojitoa chadema. Watapauka mpaka turiwajue kama ni wenyewe. Kampeni zinataka manuever na ufike kila kona ya nchi hii bila kuishia njiani mwanzo mwisho. Eti wanasema watasimamisha wagombea nchi nzima! Are they serious?***** wataipata fresh yao.