Achaneni na CHAUMMA pambanie RUZUKU msajili asije akazifyekelea mbali ,sasa unataka kusema katika maandalizi ya mkutano hakuna boda boda ,magari ,wapambaji etc walitumia nguvu kufanikisha? Viti walibeba kina nani? Wasilipwe? Hata CDM 2005 walivyoanza mbowe nakumbuka alifanya mkutano manzese watu walikuwa wachache tu ,so kwa CHAUMMA kwa watu wale wameanza vizuri.
Mambo ya kuzomea kwenye mikutano hiyo ni propaganda za kijinga ,wapo watu wanalipwa ili waende kuzomea ,mtu ambaye mwenye akili hawezi kwenda kwenye mkutano kwa ajili ya kwenda kuzomea kama alikuwa hataki ilikuwa option ya kutoenda.