Walikosea chama,zito aliwasihi waende ACT wao wakaforce kwenda chauma Ili wakapate vyeo vikubwa,,laiti Kama wangeenda ACT wangefanikisha Sana na wangeweza kupata ubunge wa hapa na paleChauma haijapokelewa vema na wananchi hata baada ya genge la chadema kuingia humo walidhani chama hicho kitasisimua wananchi wakipe vibe badala yake kinadorora. Hata kikiingia kwenye uchaguzi kitaangukia pua tu. Lile genge ni nuksi halina baraka za wananchi walifanya usaliti hakuna mwananchi mwenye akili timamu atawapigia kura, labda wabebwe na wafadhili wao waliowageuza ni project yao ya kuififisha chadema
Pamoja na kuwa CHADEMA haipo lakini bado mnaweweseka.Weka picha babu, maana chadomo hamuaminiki
mola gani huyo anayejalia wasaliti?Mola atawajaalia inshaallah.
Kwenye ofisi za CHAUMMA mkoa wa Mara kuna bodaboda wamejaa muda huu wanataka posho zao za mafuta waliyotumia kwenda kwenye mkutano wao leo
View attachment 3356060
Siku ya uchaguxi itakuaje
na ndivyo ilivyokuwa, walikuwa waende ACT wakala kona kuelekea chauma. Afadhali wangeenda ACT kule wote wangepata majimbo na kata za kugombea kwa wingi wa chama kile ambacho tayari kiliishagombea uraisi kikawa juu ya chaumma. ACT ni kubwa kuliko CHAUMAWalikosea chama,zito aliwasihi waende ACT wao wakaforce kwenda chauma Ili wakapate vyeo vikubwa,,laiti Kama wangeenda ACT wangefanikisha Sana na wangeweza kupata ubunge wa hapa na pale
Kwahiyo naww kwako unaitwa BABA kwa PUMBA hizi??Achaneni na CHAUMMA pambanie RUZUKU msajili asije akazifyekelea mbali ,sasa unataka kusema katika maandalizi ya mkutano hakuna boda boda ,magari ,wapambaji etc walitumia nguvu kufanikisha? Viti walibeba kina nani? Wasilipwe? Hata CDM 2005 walivyoanza mbowe nakumbuka alifanya mkutano manzese watu walikuwa wachache tu ,so kwa CHAUMMA kwa watu wale wameanza vizuri.
Mambo ya kuzomea kwenye mikutano hiyo ni propaganda za kijinga ,wapo watu wanalipwa ili waende kuzomea ,mtu ambaye mwenye akili hawezi kwenda kwenye mkutano kwa ajili ya kwenda kuzomea kama alikuwa hataki ilikuwa option ya kutoenda.
Afu zomea yao inanichekesha yani kama fisiii inakera kweliii😄😄😃😃
Yes NEW CHAUMMA....Nguvu MPYA.Kumbe chauma ndio kimeanza🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo naww kwako unaitwa BABA kwa PUMBA hizi??