ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Siku hizi namba ikikaa muda fulani haijatumika inauzwa kwa mwingine. Ukikaa unashangaa unapata notifications marehemu amejiunga telegramMungu aendelee kuwarehemu marehemu na mahayati wote nilionao kwenye phonebook yangu
Kimsingi mimi sifuti number zao deliberately, naona kama kufuta number zao ni kujitenga nao mazima. Kwangu kukaa na number zao ni kuwaheshimisha
Hakika hilo nalijua ila kuna sababu gani mtu kupewa namba ya mtumba(namba iliyotumika)?Siku hizi namba ikikaa muda fulani haijatumika inauzwa kwa mwingine. Ukikaa unashangaa unapata notifications marehemu amejiunga telegram
Siku hizi namba ikikaa muda fulani haijatumika inauzwa kwa mwingine. Ukikaa unashangaa unapata notifications marehemu amejiunga telegr
mmmmmmmmSiku hizi namba ikikaa muda fulani haijatumika inauzwa kwa mwingine. Ukikaa unashangaa unapata notifications marehemu amejiunga telegram
kuna ule ujumbe mtu anaandika "hakuna jambo gumu kama kufuta namba ya mzazi wako aliyefariki"sasa huwa najiuliza,kama unafuta namba yake si ufute na picha zake!!!Mungu aendelee kuwarehemu marehemu na mahayati wote nilionao kwenye phonebook yangu
Kimsingi mimi sifuti number zao deliberately, naona kama kufuta number zao ni kujitenga nao mazima. Kwangu kukaa na number zao ni kuwaheshimisha
Fikiria watu wanaofariki ni wangap halafu hizo namba ziachwe tu?Hakika hilo nalijua ila kuna sababu gani mtu kupewa namba ya mtumba(namba iliyotumika)?
Kampuni za simu ziliangalie hili