Kwenye phonebook yako kuna marehemu wangapi?

Kwenye phonebook yako kuna marehemu wangapi?

Kuna watu ni wavivu kufutaga contact za marehemu mpaka sasa wako nazo wengine tunasave majina kwenye Gmail ukiingiza kwenye simu mpya yana jirestore.Mimi nina marehemu Watano majina yao nimeamua tu niyaache. Imma, yuni, mamkubwa, elia na fundi Tandika.
Kama ushirikina vile
 
I'd fake isikudanganye kuongea Kila kitu humu huu ni mfumo wa google na humu Kuna watu wa Kila aina unaweza kuongea kama utani ila Kuna madhara
Wala sio hivyo mkuu kuna kila mtu najua ,pia mimi ni mtu , alafu kingine umetafsiri vip mchango wangu ,nafikir apo ndio kuna shida.
 
Nimeshindwa ifuta namba ya bibi yangu. Bado ipo kwenye favourite contacts.
 
Mungu aendelee kuwarehemu marehemu na mahayati wote nilionao kwenye phonebook yangu

Kimsingi mimi sifuti number zao deliberately, naona kama kufuta number zao ni kujitenga nao mazima. Kwangu kukaa na number zao ni kuwaheshimisha
Same boat bro
Kuna bro wangu mmoja safari yake ya mauti ilimkuta tukiwa pamoja kwenye mishe za kusaka tonge ! Huyu jamaa sms zake za mwisho mwisho zilijaa upendo na heshima ya dhati kwangu na kiukweli nimeshindwa kabisa kuzifuta maana sikupata nafasi ya kuzijibu . ni kama vile alikuwa ananiaga kabla ya kupata ajali mbaya iliyogharimu maisha yake .
Rest in peace hommie !! May your last ride be smooth.
 
Ndo umeni kumbusha saivi hua sinaga kabsa mda wa kafuta .adi no za ma Ex zipo na sina mda kabsa wa kufuta
 
Kuna wakati mjomba alifariki sasa kumbe shangazi anaendelea kutumia ile namba na mimi nilisahau kufuta.

Sasa shangazi akatumia namba ya mjomba kunipigia.. nilishtuka sana.
 
Moja ya mshikaji wangu ndugu yangu YAHYA HASSAN KIMARIO mpaka sasa huwa siamin kama hatupo naye
 
Hakika hilo nalijua ila kuna sababu gani mtu kupewa namba ya mtumba(namba iliyotumika)?

Kampuni za simu ziliangalie hili
Hakuna shida mbona, maana inafutwa ule umiliki kwaiyo inakua free
kwaiyo Mtu atakaye nunua atasajili Kwa NIDA yake Na apo ndo anamilikishwa rasmi ila apo kote baada ya kipindi kirefu kuwa haijatumika
 
Kuna watu ni wavivu kufutaga contact za marehemu mpaka sasa wako nazo wengine tunasave majina kwenye Gmail ukiingiza kwenye simu mpya yana jirestore.Mimi nina marehemu Watano majina yao nimeamua tu niyaache. Imma, yuni, mamkubwa, elia na fundi Tandika.
Wee mwenyewe marehemu ujaye
 
Back
Top Bottom