Kwenye phonebook yako kuna marehemu wangapi?

Kwenye phonebook yako kuna marehemu wangapi?

Kuna watu ni wavivu kufutaga contact za marehemu mpaka sasa wako nazo wengine tunasave majina kwenye Gmail ukiingiza kwenye simu mpya yana jirestore.Mimi nina marehemu Watano majina yao nimeamua tu niyaache.Imma,yuni,mamkubwa,elia na fundi Tandika.
Endelea kuwa nazo tu ,utakipata unachokitafuta
 
Phonebook yangu imejaa namba za watu wa mitandaoni ambao hata siwajui.

Simu yangu haina namba ya mtu ninayemjua, kwa sababu wote niliowajua niligundua ni masnichi nikawafuta.

Kwahiyo mtu akifa wala siwezi kujua.

Hata namba ya bosi sina. Nasubiri anipigie yeye.
 
Phonebook yangu imejaa namba za watu wa mitandaoni ambao hata siwajui.

Simu yangu haina namba ya mtu ninayemjua, kwa sababu wote niliowajua niligundua ni masnichi nikawafuta.

Kwahiyo mtu akifa wala siwezi kujua.

Hata namba ya bosi sina. Nasubiri anipigie yeye.
Ila wizo sasa namba za watu usiowajua za kazi gani? 😀
 
Huwa nabloko na kufuta baada ya mazishi, Huwa namtumia Rip na vimaneno vya kumtakia pumziko jema Kisha nam-unfriend.


Mimi FB nilishaseti, nikachagua nikifa wafute akaunti na Kila kitu. Sitaki kukumbukwa baada ya kifo.
 
Hizi mada za marehemu wengine zinatuumiza sana 🥹🥹
Usiumie Mkuu!Mimi naamini huko kupo kama huku,maisha yanaendelea watu muhimu Duniani wameondoka waliobaki ni makapi tu.Ukifa unaenda kukutana na walioifanyia Dunia hii makubwa uenda ulikuwa unawasoma vitabuni tu.
 
Kuna watu ni wavivu kufutaga contact za marehemu mpaka sasa wako nazo wengine tunasave majina kwenye Gmail ukiingiza kwenye simu mpya yana jirestore.Mimi nina marehemu Watano majina yao nimeamua tu niyaache. Imma, yuni, mamkubwa, elia na fundi Tandika.
Namba za marehemu FUTA unachokitafuta utakipata siku hiyo namba itakapofanyiwa uhalifu sehemu utakua mmoja ya watu wake wa karibu hizo namba zikikaa mda mrefu bila kutumika mitandao ya simu inawapa watu wengine watumie
 
Back
Top Bottom