Kwenye phonebook yako kuna marehemu wangapi?

Hakika hilo nalijua ila kuna sababu gani mtu kupewa namba ya mtumba(namba iliyotumika)?

Kampuni za simu ziliangalie hili
Unasajili namba mpya Unaambiwa Unadaiwa Songesha, marehemu alikua kwenye harakati za kutoboa kimaisha.

Kuna namba hua kila nikiifikiria kuifuta nashindwa kabisa, Chatting za Whatsapp nazo nimeshindwa..
R.I.P Piarizi.
 
Sijui umewaza nini huko lakini[emoji848][emoji2827]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…