Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Idiots will always dwell on pet issues. Starved mind where do you stand. Stupid........... In your m.........'s voiceMbona mnalazimasha watu waseme.. eti Barozi! we kilaza kweli!
Pet issues! Kama unashindwa kuandika Balozi alafu unataka uelewe kuhusu mkataba!Idiots will always dwell on pet issues. Starved mind where do you stand. Stupid........... In your m.........'s voice
Herding behaviorBinafsi Imani Yangu kwenu haikuwahi kuwa na Shaka. Ukimya wenu kwenye suala hili la bandari bila kujali nafasi mlizopewa unadhibitisha kuwa hamko tofauti na watanzania wengi wanaotetea matumbo Yao.
Haijarishi mnazo nafasi gani kwenye hii serikali .ukimya wenu ni majibu tosha kuwa tuliwaweka kwenye nafasi ambazo hamkustahili.
Mungu ibariki Tanzania.
Tumia akili ...polepole amefanya sawa kabisa ili uovu wa watu ufunguke .... kuna muda utafika sasa nguvu zao zitakuwa kubwa baada ya wapumbavu walio mkashifu mtukufu JPM watakapo sujudu kama kina lissu na mange kimambi na mbowe na wanafiki kina zitoKweli kabisa Kwa wote waliokaa kimya ina mana wanasapoti tukianzia na JK[emoji16]
Kivipi wewe ujui fitina za kiutu uzima ...siasa ni fitina za damu tumia akili kunyamaza kwao ni silaha kubwa sana dhidi ya wahuni ila watskuja kuongea kwa wakati stahikiMbona hata wewe hujatumia akili?[emoji57]
Kimya nacho ni jibuBinafsi Imani Yangu kwenu haikuwahi kuwa na Shaka. Ukimya wenu kwenye suala hili la bandari bila kujali nafasi mlizopewa unadhibitisha kuwa hamko tofauti na watanzania wengi wanaotetea matumbo Yao.
Haijarishi mnazo nafasi gani kwenye hii serikali .ukimya wenu ni majibu tosha kuwa tuliwaweka kwenye nafasi ambazo hamkustahili.
Mungu ibariki Tanzania.
Mtukufu! Jpm ni takataka kabisa!Mbona hata wewe hujatumia akili?[emoji57]
Kabudi ni tapeli wa kisiasa yupo bungeni na hakuchaguliwa na wananchi...Prof.Kabudi asipopinga mabadiliko ya sheria nitamshangaa na kuamini kuwa ni tapeli wa kisiasa.
Apinge wakati yeye ndiye anayaunda?..Prof.Kabudi asipopinga mabadiliko ya sheria nitamshangaa na kuamini kuwa ni tapeli wa kisiasa.
Apinge wakati yeye ndiye anayaunda?
Wewe umeyaona mabadiliko, yana ubaya upi?
Kutetea watu kila siku wasiojielewa...nikupoteza muda.. Wa Tz ni watu wa porojo. Kelele mitandaon.. hakuna lolote wanaloweza chukua hatua.. wanapandishiwa matozo.. kimya.. wanaibiwa kura.. kimya.. CAG anatoa taarifa za kutisha. Watu wameuchuna tu... Acha linchi liuzwe had hapo akil za wa Tz ztakapokaa sawa.. ningekua mbowe. Au hao uliowataja.. ningekaa kimyaa.. sabab wa Tz unafki ni mwing mno.. kina steve nyerere na sampul ya watu wa aina yake. Kina mwijaku ndo wamejaa huko kwenye chama. Ni aibu kwa vinaja wa taifa hiliBinafsi Imani Yangu kwenu haikuwahi kuwa na Shaka. Ukimya wenu kwenye suala hili la bandari bila kujali nafasi mlizopewa unadhibitisha kuwa hamko tofauti na watanzania wengi wanaotetea matumbo Yao.
Haijarishi mnazo nafasi gani kwenye hii serikali .ukimya wenu ni majibu tosha kuwa tuliwaweka kwenye nafasi ambazo hamkustahili.
Mungu ibariki Tanzania.