Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Binafsi Imani Yangu kwenu haikuwahi kuwa na Shaka. Ukimya wenu kwenye suala hili la bandari bila kujali nafasi mlizopewa unadhibitisha kuwa hamko tofauti na watanzania wengi wanaotetea matumbo Yao.
Haijalishi mnazo nafasi gani kwenye hii serikali. Ukimya wenu ni majibu tosha kuwa tuliwaweka kwenye nafasi ambazo hamkustahili.
Mungu ibariki Tanzania.
Haijalishi mnazo nafasi gani kwenye hii serikali. Ukimya wenu ni majibu tosha kuwa tuliwaweka kwenye nafasi ambazo hamkustahili.
Mungu ibariki Tanzania.