Kwenye sakata hili la Bandari, Prof. Kabudi, Bashiru Ally, Humphrey Polepole jiandaeni kujibu mbele ya Mungu wenu kama mnamwamini

.

Kichwa cha habari na andiko haviendani
 
Kabudi aliondolrwa Kwenye kamati ya negotiation kwani wawekezaji walimdanganya Samia kuwa Jamaa anamisimamo na anajua Sheria hivyo wawekezaji wanshindwa kupata wanachitaka
 
Kwani hii nchi ni yao hao na wewe tu. Nchi ya Watanzania wote.
 
Apinge wakati yeye ndiye anayaunda?

Wewe umeyaona mabadiliko, yana ubaya upi?
Yeye na jopo Ndio waliitunga hii sheria ya rasilimali za Taifa inayoenda kubadilishwa na kuitetea Chini ya Usimamizi wa JPM baada ya sakata lile la madini maarufu makinikia...!

Ndio maana anasema atamshangaa Kabudi kama atakaa kimya... ana hoja!
 
Acha mambo za kulazimisha bana, sema sana wewe mwenyewe unasikika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…