uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
.Binafsi Imani Yangu kwenu haikuwahi kuwa na Shaka. Ukimya wenu kwenye suala hili la bandari bila kujali nafasi mlizopewa unadhibitisha kuwa hamko tofauti na watanzania wengi wanaotetea matumbo Yao.
Haijarishi mnazo nafasi gani kwenye hii serikali .ukimya wenu ni majibu tosha kuwa tuliwaweka kwenye nafasi ambazo hamkustahili.
Mungu ibariki Tanzania.
Kichwa cha habari na andiko haviendani