Sio siri kuwa KimaroMalasusa ni kada mtiifuvwa ccm.
Nawe ni chawa ungempinga?
ni chawa wa Mbowe! Hilo liko wazi. Kanisa linamsitiri Kimaro kwani kuna
ubadhirifu mkubwa wa sadaka / fedha Kijitonyama!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio siri kuwa KimaroMalasusa ni kada mtiifuvwa ccm.
Nawe ni chawa ungempinga?
Mastahi ni mmoja ya Mchg wa hovyo sana.Nilisali pale 2004-2007
Kimaro awe mpole tu.
Mabadiiko ni muhimu
Bado mchungaji Mastahi wa Kimara Korogwe
Alikuwa anajipendekeza CCM ili wasipanue barabara eneo la kanisa,maana alichangisha watu sadaka wakanunua eneo kumbe ni hifadhi ya barabaraMastahi ni mmoja ya Mchg wa hovyo sana.
Nakumbuka wakati wa uchaguzi Mkuu 2020 nilisali pale Kimara Korogwe alimsimamisha Prof Mkumbo na kimpigia debe wazi wazi pamoja na yule Mzee wa Chato.
Tangu siku hiyo niliacha utaratibu wa kwenda kusali ninapokuwa Dar.Mchg Mastahi alinikwaza sana tena sana nilitoka kabla ya Ibada kumalika.Nilijiuliza hili Kanisa la KKKT limeingiliwa na mdudu gani kama Mchg ana mahaba na CCM hajui kuna baadhi ya waumini wake hawataki si CCM.
Huyu chawa wa CCM ni vyema angefukuzwa kazi mara moja au kuhamishiwa Lumumba.
Malasusa aliacha kazi ya uAskofu siku nyingi.Kazi yake kubwa ilikuwa kwenda Airport kupokea ndege za Bwana yuleee.Makanisa yakijitenga na siasa basi watamhubiri Mungu wa kweli
So far makanisa yamepoteza mwelekeo
Malasusa mmm sio kabsaaa
Tuombee majumbani Mungu anasikia
Yoote umeeleza umesahau kutaja kuwa kwenye ajira kuna na haki za muajiriwa.Mimi ni msharika wa Kijitonyama mstaafu. Nihama pale baada ya mambo kuwa mengi. Ila bahasha yangu bado ipo.
Kabla ya kuja Kimaro we had a peaceful church. Misingi ya kanisa ilizingatiwa.
Tulifanikiwa pia kujenga ghorofa tisa la kitegauchumi na nyumba ya jirani alitekua anasumbua sana.
The church was peaceful
Huyu bwana akaja na mambo yake. Binafsi sikupendezwa maana mambo mengi yalivurugwa. Hakuwa anazingatia tamaduni za kanisa.
Nikahama.
Malasusa ametokea katika familia ya mchungaji, anajua tamaduni za kanisa.
Kila kanisa lina tamaduni zake inazotambulisha. Kuziacha ni kuua kanisa. Tamaduni za kanisa lazima ziwe protected at any cost.
Kiongozi wangu, Dr. Malasusa, personally uliwahi kunikosea na nikakukasirikia ila nimekusamehe, katika hili la kutunza tamaduni za kanisa niko na wewe.
Ndimi.
Msharika mstaafu wa kijito.
Amen.
Kuhusu Sakata hilo, soma: Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu