Kwenye sakata la Mchungaji Kimaro, nasimama na Kiongozi wangu Askofu Malasusa

Kwenye sakata la Mchungaji Kimaro, nasimama na Kiongozi wangu Askofu Malasusa

Mimi ni msharika wa Kijitonyama mstaafu. Nihama pale baada ya mambo kuwa mengi. Ila bahasha yangu bado ipo.

Kabla ya kuja Kimaro we had a peaceful church. Misingi ya kanisa ilizingatiwa.

Tulifanikiwa pia kujenga ghorofa tisa la kitegauchumi na nyumba ya jirani alitekua anasumbua sana.

The church was peaceful

Huyu bwana akaja na mambo yake. Binafsi sikupendezwa maana mambo mengi yalivurugwa. Hakuwa anazingatia tamaduni za kanisa.

Nikahama.

Malasusa ametokea katika familia ya mchungaji, anajua tamaduni za kanisa.

Kila kanisa lina tamaduni zake inazotambulisha. Kuziacha ni kuua kanisa. Tamaduni za kanisa lazima ziwe protected at any cost.

Kiongozi wangu, Dr. Malasusa, personally uliwahi kunikosea na nikakukasirikia ila nimekusamehe, katika hili la kutunza tamaduni za kanisa niko na wewe.

Ndimi.

Msharika mstaafu wa kijito.

Amen.

Kuhusu Sakata hilo, soma: Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu
Malasusa ni kada mtiifuvwa ccm.
Nawe ni chawa ungempinga?
 
Black ....
Acha kulisagia kunguni kkkt ya dayosi ya kazkasini Kati kwa kusema Ni makabila nenda Moshi dayosi ya kazkasin ndio ujue ukabila uko VIP achaaa kbsa mkuuu

Hkn mchungaji wa kabila lingine wote Ni wachaga tupu

Nenda mbeya utakuta wachungaji wote Ni wanyakyusa tupu Sasa unavyo Seema wanawekana wamasai na waarusha alfu unarnda sehem nyingine Hali Ni ile ile

Tatizo bwana black...hujatembee umezalia Hapo Arusha na Huna exposure kubwa

Kama VIP nenda kwa geordavie

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Huko Kaskazini huwa wana utaratibu wa kuendesha ibada zao kwa lugha zao za kikabila, (kama umewahi kwenda huko Moshi hata kwa msiba utakuwa unajua) sasa unataka Mmakonde akawe mchungaji huko Moshi au Mbeya atahudumia vipi usharika wake?
 
Mimi ni msharika wa Kijitonyama mstaafu. Nihama pale baada ya mambo kuwa mengi. Ila bahasha yangu bado ipo.

Kabla ya kuja Kimaro we had a peaceful church. Misingi ya kanisa ilizingatiwa.

Tulifanikiwa pia kujenga ghorofa tisa la kitegauchumi na nyumba ya jirani alitekua anasumbua sana.

The church was peaceful

Huyu bwana akaja na mambo yake. Binafsi sikupendezwa maana mambo mengi yalivurugwa. Hakuwa anazingatia tamaduni za kanisa.

Nikahama.

Malasusa ametokea katika familia ya mchungaji, anajua tamaduni za kanisa.

Kila kanisa lina tamaduni zake inazotambulisha. Kuziacha ni kuua kanisa. Tamaduni za kanisa lazima ziwe protected at any cost.

Kiongozi wangu, Dr. Malasusa, personally uliwahi kunikosea na nikakukasirikia ila nimekusamehe, katika hili la kutunza tamaduni za kanisa niko na wewe.

Ndimi.

Msharika mstaafu wa kijito.

Amen.

Kuhusu Sakata hilo, soma: Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu
Nilisali pale 2004-2007
Kimaro awe mpole tu.
Mabadiiko ni muhimu
Bado mchungaji Mastahi wa Kimara Korogwe
 
Misingi ipi? Mfano Lutheran huku kaskazini hasa Arusha imejaaa ukabila full yaani kama wewe sio Mwarusha au Mmsai basi sahau hata kuwa mchungaji, asilimia 100 ya wachungaji ni wamasai na Waarusha, Shule za kanisa asilimia 100 ya wakuu wa shule ni the same, njoo sasa kwenye project za kanisa.

Binafisi mara 1000 nikasali kwa manabiii ila sio kwa hawa lutheran
Mwakasege ni kabila gani mkuu??
 
Hivi hiyo barua waliileta ghafla wkt yupo madhabahuni au ilikuwaje?
 
YESU ALIHUBIRI UFALME WA MUNGU, NA SI TAMADUNI ZA KANISA FLANI
JE NI UTAMADUNI WA KANISA KUMSIMAMISHA UCHUNGAJI MTU BILA KUTOA TAARIFA YA SABABU NI NINI?
KWA SASA KIMARO NI MAARUFU KULIKO KANISA LENYEWE
Hata washirikina wana taratibu na kanuni zao , kanisa bila utaratibu basi kusingekuwa na haja ya kuwa na wachungaji kila mtu mwenye kinywa angeweza kuwa kiongozi wa kanisa, tusichangaye mambo ndani ya mambo ya kiroho kuna taratibu na kanuni zinazo toa miongozo ili kuyafikia hayo ya kiroho kinyume na hapo ingekuwa ni vurugu mechi.

Hata yesu alighadhabika pale alipo ona watu wamegeuza hekalu kuwa pango la walanguzi na alimwaga vitu vyao bila kujali hasara watakayo ipata walanguzi wale ,
 
Utamaduni wa bahasha sijui ni wa wapi
Kwenye hili la utamaduni wa sadaka kwa bahasha kiukweli linalirudisha kanisa nyuma Sana. Hadi rc kwa Sasa huu utamaduni umeingia. Yani kile unachotoa sadaka muumini kinaweza kujulikana na zaidi ya watu wanne Hadi watano. Ikiwa siku muumini sadaka yake Ni ndogo Sana hawezi kujisikia amani kuitoa maana atahisi kujidhalilisha kwa viongozi wake.

Sadaka ya imani na iliyobora Ni ile ambayo ikitolewa na mkono wako wa kulia hata mkono wako wa kushoto usijue. Katika ibada yafaa sana kila mmoja ajihisi huru na mwenendo wake wa utoaji uongozwe na kuimarika kwake kwa imani.

Hili nahisi Bado halijagundulika na viongozi wengi Bado.
 
KKKT ni Kanisa la Kiinjili, wale wahuni walioandamana hawajui tamaduni ya hili kanisa, kama Kimaro ana uinjilisti mkubwa na wenye wito, basi uinjilisti wake hautakiwi kuishia Kijitinyama, lazima uende mahali pengine, yeye sio wa kwanza kuhamishwa na wala hatakuwa wa mwisho, KKKT litakuwepo na litaendelea kuwepo bila hata Kimaro.
Kkkt ndio nini? wengine hatujui au ni bendi ya muziki?
 
Mtume Paulo angekomalia maswala ya tamaduni za dini ya kiyahudi leo hii injili ya Kristo isingefikia mataifa.
Ulichoandika hakieleweki. Kama anataka kufikisha injili kwa mataifa kama unavyotaka iwe ajitoe KKKT, akawe huru kuhubiri bila kufungwa na tamaduni hizi, simple.
 
Mtoa mada una lolote kuhusu upende usipende na kupangiwa mchango?
Hio ni lugha ya uchochezi, kuna msharika amefukuzwa kanisani, kutukanwa au kichapwa viboko kwa sababu hajatoa michango? Mf Choo Cha kanisa thamani ya ujenzi wake ni milioni 5, tukipangiana kila mmoja atoe sh kadhaa ni kosa? Hivi kwa waganga wa kienyeji hampangiwi michango, tozo na Kodi je, harusi je
 
Nilichukiwa sana na ninaendelea kuchukiwa sana na kiongozi pamoja na wenzangu kanisani ninapouliza jambo hili
Umeshindwa tu kuelewa maandiko, wewe ndio hutakiwi kutangaza sadaka yako, itoe kwa Siri, Ila yanayoendelea baada ya wewe kutoa si juu yako. Yule mjane alitoa sadaka kwa Siri, Ila Yesu aliitangaza hadharani, kumbuka Yesu alisimama kwenye chombo Cha sadaka, akiangalia kila anaetoa, na Katia sh ngapi!!!!! Na sijui nani alimpa kazi hiyo!!!!!!! Naam hata leo Yuko Mbele ya chombo Cha sadaka, anaangalia umetoa sh ngapi.
 
Mkuu we ni dini gani? Kama ni mkristo na hujui Kama Yesu yupo, mwambie mchungaji wako akurudishie sadaka zako, ukale maisha
Kama kweli mna hofu ya Mungu kwanini migogoro ya maslahi binafsi haiishi?
 
Back
Top Bottom