Kwenye sakata la Mchungaji Kimaro, nasimama na Kiongozi wangu Askofu Malasusa

Kwenye sakata la Mchungaji Kimaro, nasimama na Kiongozi wangu Askofu Malasusa

Yalikuwepo ,yapo ,yatakuwepo. Hakuna jipya. Hili nalo litapita tu
 
wakati wa kuwaaga:alikua analia wakati akiwaombea kondoo wake, kilichokua kina mliza ni nini?
Kulia ni shida wangapi tunaowaaga tunalia na wao wanalia. Ndivyo ulivyo upendo kwa wale uwapendao. Unachotaka kukimaanisha ni kipi kwamba much. kimaro analilia usharika wake?
 
Kwani mkuu umelazimishwa kutoa michNgo Yao wew nenda kanisani bhna kamuabudu mungu ,watu na michango Yao achanao kwani hawalazimishi na Kama umebarikiwa wape mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Silazimishwi hata kidogo kuchangia michango. Lakini ifike pahala tuambiane UKWELI. Kama wakristo tunahitaji mapinduzi katika jumuiya na sharika zetu. Tuone mabadiliko chanya katika uinjilishaji na kwakutokuogopa mtu, Chris na nafasi ambayo mtu fulani anayo. Mpaka sasa sioni kosa la mchungaji. Ametii mamlaka yake, ametii maagizo ya mamlaka yake, nini shida kwa Mchungaji? Je ameeitisha maandamano ya waumini? Kwanini hukumu hii kwa Mchungaji
 
Black ....
Acha kulisagia kunguni kkkt ya dayosi ya kazkasini Kati kwa kusema Ni makabila nenda Moshi dayosi ya kazkasin ndio ujue ukabila uko VIP achaaa kbsa mkuuu

Hkn mchungaji wa kabila lingine wote Ni wachaga tupu

Nenda mbeya utakuta wachungaji wote Ni wanyakyusa tupu Sasa unavyo Seema wanawekana wamasai na waarusha alfu unarnda sehem nyingine Hali Ni ile ile

Tatizo bwana black...hujatembee umezalia Hapo Arusha na Huna exposure kubwa

Kama VIP nenda kwa geordavie

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sijalisagia kunguni kabisa UKWELI lazima usemwe tuache mambo ya kujipendekeza. Huku niliko iko shule ya KKKT imefilisiwa, Mali zake wamegawana viongozi wa kabisa. Walikopa waumini tunalipishwa. Mkuu wa jimbo anataka gari la ml400. Wachungaji wanaotaka mabadiliko ndani ya kabisa hawana muda mrefu KKKT.
 
Kanisa lenu la magomeni pale mataa
Na lile la kinondoni mahakamani mbona hazikamiliki [emoji1]

Ova
Makanisa yao yanakamilika kwa tabu sanaa, kkkt huwa kuna wahujumu uchumi wa kutosha 🤣
 
Walioandamana sio walutheri kabisa bali wale kutoka makanisa mengine waliokuja knyama kwa ajili ya kimaro
 
Taj
Misingi ipi? Mfano Lutheran huku kaskazini hasa Arusha imejaaa ukabila full yaani kama wewe sio Mwarusha au Mmsai basi sahau hata kuwa mchungaji, asilimia 100 ya wachungaji ni wamasai na Waarusha, Shule za kanisa asilimia 100 ya wakuu wa shule ni the same, njoo sasa kwenye project za kanisa.

Binafisi mara 1000 nikasali kwa manabiii ila sio kwa hawa lutheran
Taja makanisa yanao ongozwa na waarusha - Arusha.....
 
shida ipo hapo unapofwata mno taratibu za kanisa kuliko kufuata taratibu za Roho Mtakatifu ndio maana unasimama na askofu.....
kkkt ni kanisa la matengenezo mpingeni sana leo kimaro kesho mtakuja kwa maksai, lkn jua ni lazima siku moja kanisa likae sehem salama na sio mahali ambapo watu kadhaa wanafanya dhambi kwa kujificha huku wakiwa ni wakuu wa kanisa na wanachukia kuambiwa...
 
YESU ALIHUBIRI UFALME WA MUNGU, NA SI TAMADUNI ZA KANISA FLANI
JE NI UTAMADUNI WA KANISA KUMSIMAMISHA UCHUNGAJI MTU BILA KUTOA TAARIFA YA SABABU NI NINI?
KWA SASA KIMARO NI MAARUFU KULIKO KANISA LENYEWE
Unachotaka ni kkkt isiwepo, Kila Mchungaji afuate taratibu zake! Mbona rahisi, unaondoka unaanzisha kanisa lako, unaliendesha kwa taratibu zako. Usiharibu taratibu zilizojengwa kwa muda mrefu! Kama vipi toa mapendekezo yako kwenye vikao.
 
Misingi ipi? Mfano Lutheran huku kaskazini hasa Arusha imejaaa ukabila full yaani kama wewe sio Mwarusha au Mmsai basi sahau hata kuwa mchungaji, asilimia 100 ya wachungaji ni wamasai na Waarusha, Shule za kanisa asilimia 100 ya wakuu wa shule ni the same, njoo sasa kwenye project za kanisa.

Binafisi mara 1000 nikasali kwa manabiii ila sio kwa hawa lutheran
Sasa unateseka nini? Wakasi siyo mlutheri!
 
Hili suala Lina jazwa speculations zisizo na lazima. Ni nani ana ushahidi wa Nini haswa kilifanya Mchungaji kupewa likizo ya lazima?

Tukumbuke yeye ni Muajiriwa na Muajiri ana Haki ya kuchukua hatua mbalimbali kwa Muajiriwa wake kwa sababu mbalimbali. Huyo hiyo Muajiri aliyemleta Kimaro kijitonyama, kaona kuna haja ya kuchukua hatua alizoona Iko haja ya kuchukua. Kimaro hakuletwa Kijitonyama na Washarika. Na zaidi hajafikuzwa kazi.

Kama Kuna figisu basi wa kutueleza ukweli ni Mchungaji ama Muajiri wake.

Kanisa lipo na litaendelea kuwepo maana msingi wake ni Kristo mwenyewe. Dkt Kimaro kafanya kazi nzuri sana Kijitonya kwa kadir ya alivyojaliwa, tuchukulie tu ndio wakati wake umeisha na anatakiwa akatoe mchango kwingine.

Hata yeye amehamisha watumishi wengi pia hapo Kijitonya. Iweje yeye akihamishwa iwe nongwa.

Kama Kuna ushahidi wa kuonewa na uwekwe ujadiliwe. Kinyume na hapo ni uzushi.
 

Attachments

  • 5155827-734a386493bc5ca1b051839e610e2fb4.mp4
    7.5 MB
Haki itendeke. Hizo mbanga zungekua masjidi Kuna watu wangechapwa bakora hadharani
 
Mimi ni msharika wa Kijitonyama mstaafu. Nihama pale baada ya mambo kuwa mengi. Ila bahasha yangu bado ipo.

Kabla ya kuja Kimaro we had a peaceful church. Misingi ya kanisa ilizingatiwa.

Tulifanikiwa pia kujenga ghorofa tisa la kitegauchumi na nyumba ya jirani alitekua anasumbua sana.

The church was peaceful

Huyu bwana akaja na mambo yake. Binafsi sikupendezwa maana mambo mengi yalivurugwa. Hakuwa anazingatia tamaduni za kanisa.

Nikahama.

Malasusa ametokea katika familia ya mchungaji, anajua tamaduni za kanisa.

Kila kanisa lina tamaduni zake inazotambulisha. Kuziacha ni kuua kanisa. Tamaduni za kanisa lazima ziwe protected at any cost.

Kiongozi wangu, Dr. Malasusa, personally uliwahi kunikosea na nikakukasirikia ila nimekusamehe, katika hili la kutunza tamaduni za kanisa niko na wewe.

Ndimi.

Msharika mstaafu wa kijito.

Amen.

Kuhusu Sakata hilo, soma: Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu
Hivi hata watu kama akina Malasusa wanapata watu wa kusimama nao?!…
 
Back
Top Bottom