Kwenye samaki unapenda kula nini?

Kwenye samaki unapenda kula nini?

[emoji1][emoji1][emoji1]mwandiko wako unanipa wakati mgumu sana kujua wewe ni she or he?

Enewei!!karibu sana mkuu
Pole sana mkuu...sio wewe wako wengi tu😅😅😅ni vizuri kutokueleweka saa ingine ili maisha yapate kwenda kas😄😄

Eniwei waweza muuliza jirani yangu Iceberg9 pengine anaweza kukusaidia.

Asante sana mkuu
 
Pole sana mkuu...sio wewe wako wengi tu[emoji28][emoji28][emoji28]ni vizuri kutokueleweka saa ingine ili maisha yapate kwenda kas[emoji1][emoji1]

Eniwei waweza muuliza jirani yangu Iceberg9 pengine anaweza kukusaidia.

Asante sana mkuu
Mmmh....haya bhana

Ila hizo lipsi zinasadifu kuwa yaliyomo yamo japo ulisema siyo zako na mwenye nazo humujui.
 
Kwa upande wangu napenda kula kichwa aise[emoji2296][emoji2296][emoji2296] Ninaweza nisile ugali aloo[emoji2957][emoji2957]..ninakisosomola ni kinouma[emoji2222][emoji2222][emoji1732][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji3344]

Sasa wale watu wa kuenda extra maili sasa[emoji28][emoji28]namaanisha samaki wa baharini kama yule aliem’meza Yona[emoji28][emoji28] [emoji117][emoji225][emoji226][emoji225][emoji226][emoji225][emoji226]

Akili za kuumwa na njaa hizi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Maisha ukichukulia siriazi sana utakata moto[emoji1787][emoji1787]

Imeisha hiyoooo...[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji3344][emoji3344][emoji3344][emoji1635][emoji1635]
Mkia[emoji23][emoji23][emoji23] samaki Ni samaki tuu...
Ndo Mana Kuna Samaki Samaki...
Unakula samaki afu baadae unakula Tena samaki mwingine[emoji1787][emoji1787]
 
Mkia[emoji23][emoji23][emoji23] samaki Ni samaki tuu...
Ndo Mana Kuna Samaki Samaki...
Unakula samaki afu baadae unakula Tena samaki mwingine[emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣mkuu umetisha aiseh loh!!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimeshajua akili yako inawaza nini sasa hivi...[emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona Sasa?? Unataka kuwa msemaji wa akili yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] enhee inawaza Nini Tena?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona Sasa?? Unataka kuwa msemaji wa akili yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] enhee inawaza Nini Tena?
😅ngoja nivunge tu hakuna namna
 
[emoji23][emoji23] nshajua uwazalo ndo Mana umevungaa[emoji1787][emoji1787] basi ITOSHE KUSEMA...Tumewaza sawa[emoji23][emoji23]
Umetishaaaaaaaaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa upande wangu napenda kula kichwa aise🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ Ninaweza nisile ugali aloo🤪🤪..ninakisosomola ni kinouma🤸‍♀️🤸‍♀️🤸💃💃💃💃🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️

Sasa wale watu wa kuenda extra maili sasa😅😅namaanisha samaki wa baharini kama yule aliem’meza Yona😅😅 👉🐠🐟🐠🐟🐠🐟

Akili za kuumwa na njaa hizi😅😅😅😅

Maisha ukichukulia siriazi sana utakata moto🤣🤣

Imeisha hiyoooo...🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂
firigisi
 
Back
Top Bottom