Kwenye samaki unapenda kula nini?

[emoji1][emoji1][emoji1]mwandiko wako unanipa wakati mgumu sana kujua wewe ni she or he?

Enewei!!karibu sana mkuu
Pole sana mkuu...sio wewe wako wengi tu😅😅😅ni vizuri kutokueleweka saa ingine ili maisha yapate kwenda kas😄😄

Eniwei waweza muuliza jirani yangu Iceberg9 pengine anaweza kukusaidia.

Asante sana mkuu
 
Pole sana mkuu...sio wewe wako wengi tu[emoji28][emoji28][emoji28]ni vizuri kutokueleweka saa ingine ili maisha yapate kwenda kas[emoji1][emoji1]

Eniwei waweza muuliza jirani yangu Iceberg9 pengine anaweza kukusaidia.

Asante sana mkuu
Mmmh....haya bhana

Ila hizo lipsi zinasadifu kuwa yaliyomo yamo japo ulisema siyo zako na mwenye nazo humujui.
 
Mkia[emoji23][emoji23][emoji23] samaki Ni samaki tuu...
Ndo Mana Kuna Samaki Samaki...
Unakula samaki afu baadae unakula Tena samaki mwingine[emoji1787][emoji1787]
 
Mkia[emoji23][emoji23][emoji23] samaki Ni samaki tuu...
Ndo Mana Kuna Samaki Samaki...
Unakula samaki afu baadae unakula Tena samaki mwingine[emoji1787][emoji1787]
🤣🤣🤣🤣🤣mkuu umetisha aiseh loh!!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimeshajua akili yako inawaza nini sasa hivi...[emoji1][emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona Sasa?? Unataka kuwa msemaji wa akili yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] enhee inawaza Nini Tena?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona Sasa?? Unataka kuwa msemaji wa akili yangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] enhee inawaza Nini Tena?
😅ngoja nivunge tu hakuna namna
 
[emoji23][emoji23] nshajua uwazalo ndo Mana umevungaa[emoji1787][emoji1787] basi ITOSHE KUSEMA...Tumewaza sawa[emoji23][emoji23]
Umetishaaaaaaaaaaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
 
firigisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…