T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Hata mwaliko hamuna mkuu?Sikukuu iko vizuri tunamshukuru Mungu
Sana tu... Changu, sangara, king, tasi, tuna etc etcOhoooo oky...lakini wengine si sawa mkuu
Nishataja kule juu... Ushawahi kunywa supu ya macho ya tuna?Hapo sawa kabisa....ni sehemu gani sasa unapenda sana kuila kwenye hao samaki mkuu
Mimi naenda kula nimepata mwaliko muda si mrefuNinamarafiki wengu waislam lkni wamenichinjia baharini..nipo tu sijielewi elewi mkuu
[emoji28][emoji28][emoji28]tusameheane tu
[emoji1666]Ohooo kumbee..sawa!
Nafikiri nilishawahi kunywa ila sikumbuki.
KaribuWow!!hongera mkuu..plz take care of yoself man[emoji1635]
Hahaha.....kumbe unayajua.Matobolwa mkuu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]asante
Ooh!!kumbeNilikutana nayo tabora kipindi hicho
MkiaKwa upande wangu napenda kula kichwa aise๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ Ninaweza nisile ugali aloo๐คช๐คช..ninakisosomola ni kinouma๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธ๐๐๐๐๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธ
Sasa wale watu wa kuenda extra maili sasa๐ ๐ namaanisha samaki wa baharini kama yule aliemโmeza Yona๐ ๐ ๐๐ ๐๐ ๐๐ ๐
Akili za kuumwa na njaa hizi๐ ๐ ๐ ๐
Maisha ukichukulia siriazi sana utakata moto๐คฃ๐คฃ
Imeisha hiyoooo...๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธ๐งโโ๏ธ๐ฅ๐ฅ