Kwenye samaki unapenda kula nini?

Kwenye samaki unapenda kula nini?

Wow!!hongera mkuu..plz take care of yoself man[emoji1635]
Karibu
20200731_164136.jpg
 
Kwa upande wangu napenda kula kichwa aise🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️ Ninaweza nisile ugali aloo🤪🤪..ninakisosomola ni kinouma🤸‍♀️🤸‍♀️🤸💃💃💃💃🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️

Sasa wale watu wa kuenda extra maili sasa😅😅namaanisha samaki wa baharini kama yule aliem’meza Yona😅😅 👉🐠🐟🐠🐟🐠🐟

Akili za kuumwa na njaa hizi😅😅😅😅

Maisha ukichukulia siriazi sana utakata moto🤣🤣

Imeisha hiyoooo...🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂
Mkia
 
Back
Top Bottom