Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππππππππmkuu unashtakiwa kwa kusababisha minyoo yangu ikaanza kupiga kelele..Nimefungua uzi na njaa imenikaba kinoma, Kitu ya sangara na sato huku Mwanza mimi huwa napenda kula kichwa na ile sehemu ya nyama chini ya tumbo ni balaa aseee.
Dada umenishinda kwa tabiaπ³π³unakula hadi mibaπ€ͺπ€ͺπ€ͺunadhulumu haki za paka ujueπ€©π€©π€©πππππm napenda nimle samaki wote jmn nibakishe miba sijui mifupa ππna kama ni yule anaetafunika adi miba nala kila kitu
Jicho
we siumenichunia hutaki tena kunipa hints π₯Upo aise..
Wanasemaga nyama iliyo karibu na mfupa ni tamu mno..
Kwanini wewe unapenda mnofu??
wee sasa wale samaki wadogo ata miba aijakomaa inatafunika vizuri kwanini nisitafune ππππDada umenishinda kwa tabiaπ³π³unakula hadi mibaπ€ͺπ€ͺπ€ͺunadhulumu haki za paka ujueπ€©π€©π€©
Tupe sifa za hiyo miba..kwa nn unapenda kutafuna miba??
kwamba ana Njaa yupo ktk lindi la mawazo?Tafuta msosi ule.