TAI DUME
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 9,748
- 26,238
Sheikh wangu samaki aliwa pande zote, hasa mwenye mkia mkubwa ukimla na JICHO bhasi naiinjoooy sheikh wangu [emoji104][emoji7]Jicho hili hili ambalo ni jicho au JICHO JICHO? [emoji12][emoji12][emoji12]
ila ugali samaki wa kukaanga, mchicha wa nazi au chuku chuku na kachumbari bomba sana [emoji39][emoji39][emoji39]