Kwenye samaki unapenda kula nini?

Jicho hili hili ambalo ni jicho au JICHO JICHO? [emoji12][emoji12][emoji12]

ila ugali samaki wa kukaanga, mchicha wa nazi au chuku chuku na kachumbari bomba sana [emoji39][emoji39][emoji39]
Sheikh wangu samaki aliwa pande zote, hasa mwenye mkia mkubwa ukimla na JICHO bhasi naiinjoooy sheikh wangu [emoji104][emoji7]
 
Kwa taarifa nilizonazo ntaleta ushahidi kama sikosei kwenye kitabu cha Genius Food wanasema samaki usimle kichwa mpaka Leo siamini na nilikuwa mjumbe mzuri tu...
 
Jicho hili hili ambalo ni jicho au JICHO JICHO? 😜😜😜

ila ugali samaki wa kukaanga, mchicha wa nazi au chuku chuku na kachumbari bomba sana 😋😋😋
Jicho la samaki mkuu..😂😂

Hilo chukuchuku ukiwa na pilipili na likao kwa mbaaaali😋😋😋😋😋🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️🙆‍♀️Minyoo yangu jamani😅😅

Mkuu wewe unapenda sehemu gani ya samaki BAK
 
Reactions: BAK
Mie nakula samaki mzima kuanzia kichwa hadi mkia na shurti kuwepo pili-pili kichaa au mbuzi 😋😋😋😋

 
we siumenichunia hutaki tena kunipa hints 😥

meno mabovu mm nataka vitu simple mifupa hapana siwezi nawwchia nyie wenye sharp teeth.
Hapa katikati nilikuwa buzy kiaina chief..

Nitakucheki tu usijali ngoja nitulie.

Unaendeleaje lkni
 
Leo umekula samaki ndiyo maana unatusumbua huku jirani

Sent from my HRY-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kichwa hasa maeneo ya jicho
Tuko pamoja kwenye kichwa mkuu lkni kwenye jicho labda nitoe kile kiini cheusi hapo sawa..

Nainjoi sana nikikula ubongo wa samaki wallah..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…