Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Youβre missing a lot my dear.
We mama uko sawa kweliπ€£π€£
Kwanini hupendi samaki??
Simlaumu najaribu kupata majibuKubet kunamharibu Joanah jirani usimlaumu
That was a joke, dont take things seriousInawezekana manake wachawi tunajuana
Kumbe unapenda lakini unamachaguzi sio!!sawa mama nitakununulia hao kamba siku moja ule mpaka uchokeI don't think so...hawanivutii hasa hasa kina kambale,sijui sato na sangara
Mie aina ya samaki nayopenda ni wale kamba wale wekundu,ngisi,pweza na kaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]samaki gani tena dada? au unamaanisha samaki!!
BTW
mkia ndo napenda namaliza najicho
ππππWewe ninakupoteza very soonπ€£π€£π€£
mimi nashindwa kuelewa mkuu kwann aseme hivyoKwahiyo mkuu unamuunga mkono sio..