pwani, dar, tangaVinapatikana bwawa gani mkoa gani jirani.
Hahaha! Namaanisha tumbo na si utumbo.Hadi matumbo...wewe si wa kawaida mkuuππ
Haya sasa niambie ni samaki gani hao ambao wanatrgemea
Makabila gani hayo mkuu
[emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848]mbna kazi sasa
Naamini utamu upo katika nyamaHuoni kuwa unakosa utamu mkuu..
ApaawomiOhooo oky...kwangu utamu niutafute tafute kidogo woooii
Hahahahaaaa hatari sana Mkuu,.. Napata supu ya samaki karibu tufaidi wote.πππππππππππmkuu unashtakiwa kwa kusababisha minyoo yangu ikaanza kupiga kelele..
Mwamba hiyo sehemu ya tumbo sio poa aise.πππ