Hiyo ni principle. Mrema alikaribishwa NCCR Marando akamwachia kiti Mrema akang’ang’ania Marando akampindua, Mbatia akampindua Marando naye kuna hatihati ya kupinduliwa na kina Selasini.
Mrema, Lwamwai waliokuwa NCCR wakakimbilia TLP wakamnyang’anya chama Ngawaiya, Mrema naye akataka kupinduliwa na kina Lwamwai na Mutungirehi.
Kina Zitto, Mwigamba, na Kitila waliisaliti Chadema, wakafukuzwa wakaanzisha ACT wakasalitiana, Zitto akishirikiana na Lipumba na Msajili wakaivuruga CUF kukawa na CUF Lipumba na CUF Seif, Zitto akakaribishwa CUF Seif amewasaliti Wazanzibari, leo kuna ACT Zanzibar na ACT Bara, ni swala la muda tu maana msaliti lazima asalitiwe.
Chadema ni chama pekee cha upinzani nchini kilichobaki salama tangu kuanzishwa kwake kwa kubadilisha uongozi wa juu kulingana na katiba yake.