Well saidHiyo ni principle. Mrema alikaribishwa NCCR Marando akamwachia kiti Mrema akang’ang’ania Marando akampindua, Mbatia akampindua Marando naye kuna hatihati ya kupinduliwa na kina Selasini.
Mrema, Lwamwai waliokuwa NCCR wakakimbilia TLP wakamnyang’anya chama Ngawaiya, Mrema naye akataka kupinduliwa na kina Lwamwai na Mutungirehi.
Kina Zitto, Mwigamba, na Kitila waliisaliti Chadema, wakafukuzwa wakaanzisha ACT wakasalitiana, Zitto akishirikiana na Lipumba na Msajili wakaivuruga CUF kukawa na CUF Lipumba na CUF Seif, Zitto akakaribishwa CUF Seif amewasaliti Wazanzibari, leo kuna ACT Zanzibar na ACT Bara, ni swala la muda tu maana msaliti lazima asalitiwe.
Chadema ni chama pekee cha upinzani nchini kilichobaki salama tangu kuanzishwa kwake kwa kubadilisha uongozi wa juu kulingana na katiba yake.
CHADEMA ilibadilisha lini uongozi wa juu au umeamua tu kutupiga kamba?Hiyo ni principle. Mrema alikaribishwa NCCR Marando akamwachia kiti Mrema akang’ang’ania Marando akampindua, Mbatia akampindua Marando naye kuna hatihati ya kupinduliwa na kina Selasini.
Mrema, Lwamwai waliokuwa NCCR wakakimbilia TLP wakamnyang’anya chama Ngawaiya, Mrema naye akataka kupinduliwa na kina Lwamwai na Mutungirehi.
Kina Zitto, Mwigamba, na Kitila waliisaliti Chadema, wakafukuzwa wakaanzisha ACT wakasalitiana, Zitto akishirikiana na Lipumba na Msajili wakaivuruga CUF kukawa na CUF Lipumba na CUF Seif, Zitto akakaribishwa CUF Seif amewasaliti Wazanzibari, leo kuna ACT Zanzibar na ACT Bara, ni swala la muda tu maana msaliti lazima asalitiwe.
Chadema ni chama pekee cha upinzani nchini kilichobaki salama tangu kuanzishwa kwake kwa kubadilisha uongozi wa juu kulingana na katiba yake.
Una umri gani na vipi kuhusu marital status tayari umeolewa? Fanya usafi wa ndani ya nyumba ukimaliza kaoshe vyombo,ukimaliza ukaoge utoe janaba ufue na chupi ulizoloweka bafuni.Eti '.....Kwa Kubadilishana uongozi WA juu kulingana na katiba yake'. Wapumbavu na mambumbumbu pekee ndiyo wataelewa hili.
Kiufupi Hakuna upinzani, umekufa. Mnahangaika kujitutumua labda mtaibuka tena lakini wapiiii, kwishney! Kuwatukan na kuwazushia kina Zitto ni 'nitoke vp' iliyobuma tayari...
Nilitoa post hiyo nikijua fika kuwa kuna mashoga humu; sote tunajua nn mashoga huwaza na kusema kila sekunde.......wao ni habari za kupakuliwa Tu na kutumia kila kaupenyo wakipatacho kutangaza uuzaji WA tako na si vinginevyo. Kwahiyo hatukushangai Shoga wewe, endelea kututangazia tako lako!Una umri gani na vipi kuhusu marital status tayari umeolewa? Fanya usafi wa ndani ya nyumba ukimaliza kaoshe vyombo,ukimaliza ukaoge utoe janaba ufue na chupi ulizoloweka bafuni.
Mapinduzi kama Rwanda vile🤣Hiyo ni principle. Mrema alikaribishwa NCCR Marando akamwachia kiti Mrema akang’ang’ania Marando akampindua, Mbatia akampindua Marando naye kuna hatihati ya kupinduliwa na kina Selasini.
Mrema, Lwamwai waliokuwa NCCR wakakimbilia TLP wakamnyang’anya chama Ngawaiya, Mrema naye akataka kupinduliwa na kina Lwamwai na Mutungirehi.
Kina Zitto, Mwigamba, na Kitila waliisaliti Chadema, wakafukuzwa wakaanzisha ACT wakasalitiana, Zitto akishirikiana na Lipumba na Msajili wakaivuruga CUF kukawa na CUF Lipumba na CUF Seif, Zitto akakaribishwa CUF Seif amewasaliti Wazanzibari, leo kuna ACT Zanzibar na ACT Bara, ni swala la muda tu maana msaliti lazima asalitiwe.
Chadema ni chama pekee cha upinzani nchini kilichobaki salama tangu kuanzishwa kwake kwa kubadilisha uongozi wa juu kulingana na katiba yake.
Selasini ni mzee muhuni tu, alianzaisha ujinga huo CDM watu wakammulika mapemaa akaona hapafai, kaenda kulianzisha NCCR. Hili ndiyo tatizo mgeni wa wiki unampatika hadi fungu za bedroom kwako - ni lazima akuumize.kupinduliwa na kina Selasini.
Vyama vya upinzani.....naona mifano kwa vyama vingine tu CCM sijaiona hapo au CCM akuna mapinduzi?
Ndio, tumekusikia lkn kina wanachama wake.Chadema ni mali ya mzee Mtei
Kwenye uchaguzi maana ya demokrasia sio kuondoa uongozi uliopo ni kuchagua kwa kuzingatia katiba mliyojiwekea hata kama akichaguliwa yule yule, provided waliomchagua wameona anafaa, ndio maana Kinana pamoja na kusitaafu siasa CCM wameona bado anafaa.CHADEMA ilibadilisha lini uongozi wa juu au umeamua tu kutupiga kamba?
Kwamba hujui mzee alimwachia mkwe wake chama na bila ajizi akaondoa kipengele cha ukomo wa uongozi kinyemela ili atawale milele?
😀
hapana, mtei ni muasisi tu wa chama, chama kipo mikononi mwa wananchi wenyewe.Chadema ni mali ya mzee Mtei
Vipi Abdurhaman Kinana kurudi uongozini Lumumba, hapa unasemaje?CHADEMA ilibadilisha lini uongozi wa juu au umeamua tu kutupiga kamba?
Kwamba hujui mzee alimwachia mkwe wake chama na bila ajizi akaondoa kipengele cha ukomo wa uongozi kinyemela ili atawale milele?
😀
Chadema itoke vipi kwa kumtumia Zitto? labda kama hujui historia ya Chadema na Zitto, Chadema ilianzishwa 92 Zitto akiwa la tatu.Eti '.....Kwa Kubadilishana uongozi WA juu kulingana na katiba yake'. Wapumbavu na mambumbumbu pekee ndiyo wataelewa hili.
Kiufupi Hakuna upinzani, umekufa. Mnahangaika kujitutumua labda mtaibuka tena lakini wapiiii, kwishney! Kuwatukan na kuwazushia kina Zitto ni 'nitoke vp' iliyobuma tayari...