Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu upo nchi gani ? hujui kwamba mhindi kainunua timu moja kwa moja milele ?Haya mapito tu, hiyo miaka 6 mbele nani atakubali timu iwe mbovu kama hii huku mwekezaji akibaki yuleyule?
Hivi vilabu kwa tunaovijua Wala hatubabaiki sana, vinatoaga furaha za misimu kadhaa siyo muda wote.
Mstarajie hata Simba SC kubaki dhaifu miaka yote.
Furaha imewazidi, tambeni ila muda wa vilio ukiwafika muutumikie vizuri.
Timu hizi mbili ni za taifa la Tanzania, hakuna mwenye nguvu ya udhibiti Nazi ikiwa itabidi aondoke. Mark my words.Mkuu upo nchi gani ? hujui kwamba mhindi kainunua timu moja kwa moja milele ?
Hivi Manji alikuwaga kabla ganiMuhindi anachungulia sana pochi na akiweka mzigo mkubwa ujue ni malengo ya kibiashara mfano kuinunua timu moja kwa moja.
Hebu ona haya klabu maaruufu waarabu wanaweka mizigo ya maana, wana mapenzi makubwa na pira,
Gsm kapata faida kubwa sana watu wengi wamemjua zaidi tofauti na kipindi kile alivyokua hajaanza kuwekeza yangaNakubaliana na wewe wahindi wanatabia ya ubahili , wanapenda short investment returns tofauti na longterm hii inawafanya kukosa uvumilivu wa ki uwekezaji upande wa mwarabu anajali zaidi investment impact, unaweza kuta GSM faida aliopata pale Yanga ni ndogo kuliko alichowekeza lakini hana nongwa.
Gsm anawekeza arsenal?Gsm kapata faida kubwa sana watu wengi wamemjua zaidi tofauti na kipindi kile alivyokua hajaanza kuwekeza arsenal
Typing error wakati naandika hii coment nilikua nabishana na mshabiki wa arsenalGsm anawekeza arsenal?
Kawekeza Arsenal lini?Gsm kapata faida kubwa sana watu wengi wamemjua zaidi tofauti na kipindi kile alivyokua hajaanza kuwekeza yanga
acheni kutaja makabila ya watu,kuhusu muhindi kwani hamkumbuki muhindi gulamali alimgalaza mwarabu bakhressa?Muhindi anachungulia sana pochi na akiweka mzigo mkubwa ujue ni malengo ya kibiashara mfano kuinunua timu moja kwa moja.
Hebu ona haya klabu maaruufu waarabu wanaweka mizigo ya maana, wana mapenzi makubwa na pira,
Hata huko duniani,waarabu ndio wananunuaji wa timu kubwaMuhindi anachungulia sana pochi na akiweka mzigo mkubwa ujue ni malengo ya kibiashara mfano kuinunua timu moja kwa moja.
Hebu ona haya klabu maaruufu waarabu wanaweka mizigo ya maana, wana mapenzi makubwa na pira,
Kwa Tanzania wafanyakazi wanaofanya kwa wahindi ndio wanaongoza kwa dhiki na malalamiko lkn hawaachi kazi.Nakubaliana na wewe wahindi wanatabia ya ubahili , wanapenda short investment returns tofauti na longterm hii inawafanya kukosa uvumilivu wa ki uwekezaji upande wa mwarabu anajali zaidi investment impact, unaweza kuta GSM faida aliopata pale Yanga ni ndogo kuliko alichowekeza lakini hana nongwa.
Hio ndio tunaita investment impact ndio alicholenga GSM sio faida ya hela kutoka Yanga hata MO amefahamika sana kupitia Simba ,Shida ya Mo yeye anataka apate vyote kwa wakati mmoja hela.ya faida na Umaarufu wa brand zake na jina.Gsm kapata faida kubwa sana watu wengi wamemjua zaidi tofauti na kipindi kile alivyokua hajaanza kuwekeza yanga
Muda hapa hakuna Yanga inaimarika kila mwaka, na tukimchukua Dube, Yanga itakuwa moto sana, mtani kilio cha kolowizard ni miaka mingi mbele!!Yana muda basi! Ngoma ikivuma sana .....