Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanga hata wanaume ni 🔥Aliamua kuolewa, tuliachana kiroho safi tu. Na harusi yake nilihudhuria. Niliyenae sasa ndio kiboko, hapa nachat jf huku nachezewa nywele,
Huyu mwanaume wa kizigua ni 🔥🔥🔥Tunakaribisha shuhuda zenu mliotembelea Tanga,Kisha mkajionea
Wana kale ka msemo “utakula kwanza ndo ule…”Utalii wa ngono ndani ya Tanga
Wee ninae for life😅😅😅 Rudi tu ukamtafute
I can only imagine😀Wadigo, Wasambaa na wazigua ndio wanabalaa sana. Sijawahi kuwa na mbondei. Huyu wasasa, sijui hata nisemeje 😊😊😊😊