Kwenye suala la mapenzi, mabinti wa kitanga ni undisputed

Mi nilipata dem wa kikuria akawa ananinolea panga, nikifika ananiambia babe nimekuandalia panga kwaajili ya kunipiga , nikikataa kumpiga analia anasema simpendi sina wivu na yeye
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Humble African
Nimefurahi kukuona tena....
Been a long...Hope uko poa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…