Kwenye suala la mapenzi na wanawake, wanaume wa JF tuache tabia ya kung'ata na kupuliza. Mnatuponza wengine

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Mpaka nimekumbuka ile kauli ya akili za kuambiwa, unatakiwa kuchanganya na zako

Ukitembelea mjini MMU utakutana na nyuzi kibao za kuwaponda wanawake, watoto wa kike, vitoto vya 2000, nyuzi za kupinga ndoa (kataa ndoa), uanachama na wanachama wa Kataa Ndoa n.k Kila mtu anamsemea mwanamke kwa namna yake anayoijua yeye kama yeye

Tutolee mfano wa mkoa wangu nilipo (Dsm), karibu 90% ya wanaume wake ni member wa JF. Utafiti huu niliufanya kwa kuselect sample space za watu 10 ambao ni majirani, wafanya biashara wenzangu, wanachuo etc. Kati ya 10, 7 - 9 ni members ama wanaifahamu JF

Cha ajabu hata wale ambao nimewahi kuwafuma wakiwa na App ya JF kwenye simu zao, still wakikutana na wanawake wananyenyekea kupita maelezo, wanatongoza huku wanabubujikwa machozi, wengine wakipiga simu kwa wachumba wanabadili sauti zao kuwa bezi la ndani ndani, tena wengine husafisha makoo yao kabla ya kupokea simu za wanawake, wasio na haya huwasindikiza wanawake wakiwa wanatoka kuemea masokoni tena kwa kuwabebea hadi vifurushi vyao

Nimeshuhudia wengi wao wakisafisha mageto yao kwa ajili ya ugeni wa wapenzi wao, kwenye suala zima la ndoa ndo usiseme, kila day watu wanaoana, tunapokea mialiko, watu wanaveshana pete wakiwa wamepiga goti mbele ya mwanamke, watu wanapendeza wapitapo mbele ya wanawake, kuhusu Chaputa, nahisi mimi ndo member halisia, mliobaki humu ndani huenda mkawa members wa bandia a.k.a viroboti ama members hewa msemo wa Magufuri. Mara ooh, mwanamke hapaswi kuchekewa, huku mtaani mnakenua mpaka jino la mwisho, mpaka kimea kinaonekana. Mara aah, umiza mwanamke, huku mtaani kibao kinageuka, mnafumania na bado mnaomba msamaha. Mara iih, usimpe pesa mwanamke, mwanamke anatakiwa kupewa Giar no 2 bila kupunguza mwendo kwenye kituta, ila huku mtaani mnatoboka kupita maelezo

Hapa mtaani, kazini kwangu na sehemu nyinginezo ninakofahamika nimeonekana kuwa mwanaume wa tofauti sana, nilipokuwa napitia nyuzi za JF nilikuwa napata machungu makali mno dhidi ya mapenzi, ndoa na wanawake, ikafikia kipindi nikimuona mwanamke naona kama nimeona mbayuwayu, ikafikia kipindi wanawake wakawa wakiniona wanasimama kustaajabu kuwa mimi ni mtu wa namna gani, wengine walifikia hatua ya kuja usiku wa saa5 kuniazima ndoo za kuogea wakiwa na kangamoko, kila nilipowaona tu nilijawa na hasira pale nilipokumbuka uovu alioufanya Hawa dhidi ya Adamu wa kumpatia mwenzae ndogo, kitendo ambacho kilipelekea tufukuzwe Edeni, hivyo mkuyenge ulinywea nikajikuta nikifunga mlango kwa hasira na kurudi MMU kujaza sumu

Kumbe haya yote ni maisha ya kimtandao tu, kiuhalisia haya-make sense, non existence, tunawaponda tu humu JF, lakini mtaani tuko nao sambamba. Fuata mkia imeniponza, tazama nimechukiwa na wanawake wote mtaani na katika eneo langu la kazi, sina mteja wa kike sasa😭 Hata kununua nyapu kwa ajili ya kupunguza upwiru, siuziwi tena kwa sababu ya chuki binafsi dhidi ya wanawake

Alamsiki...
 
Daaah yaani mwamba kajipinda kuachia Uzi woooote huu ila hakuna aliyekomenti
 
Daaah yaani mwamba kajipinda kuachia Uzi woooote huu ila hakuna aliyekoment
 
Tarehe 27/10/2024
Dah! watu wana roho mbaya, mbona ameandika madini kabisa maana kuna Lecturer wa kike alikuwa anawafundisha wanafunzi wake mambo ya haki sawa, akiwaambia wanawake wasiendeshe Bahat mbaya kuna mwanafunzi ambaye ni jirani yake akanyosha mkono na kumuuliza mwalimu wake, mbona wewe juzi mume wako alikuchapa makofi hujampeleka polisi, akamwambia hayo ni mambo ya ndoa yangu na mimi nakufundisha kufaulu mtihani
 
Aiseee show kali
 
Mpaka nimekumbuka ile kauli ya akili za kuambiwa, unatakiwa kuchanganya na zako

Ukitembelea mjini MMU utakutana na nyuzi kibao za kuwaponda wanawake, watoto wa kike, vitoto vya 2000, nyuzi za kupinga ndoa (kataa ndoa), uanachama na wanachama wa Kataa Ndoa n.k Kila mtu anamsemea mwanamke kwa namna yake anayoijua yeye kama yeye

Tutolee mfano wa mkoa wangu nilipo (Dsm), karibu 90% ya wanaume wake ni member wa JF. Utafiti huu niliufanya kwa kuselect sample space za watu 10 ambao ni majirani, wafanya biashara wenzangu, wanachuo etc. Kati ya 10, 7 - 9 ni members ama wanaifahamu JF

Cha ajabu hata wale ambao nimewahi kuwafuma wakiwa na App ya JF kwenye simu zao, still wakikutana na wanawake wananyenyekea kupita maelezo, wanatongoza huku wanabubujikwa machozi, wengine wakipiga simu kwa wachumba wanabadili sauti zao kuwa bezi la ndani ndani, tena wengine husafisha makoo yao kabla ya kupokea simu za wanawake, wasio na haya huwasindikiza wanawake wakiwa wanatoka kuemea masokoni tena kwa kuwabebea hadi vifurushi vyao

Nimeshuhudia wengi wao wakisafisha mageto yao kwa ajili ya ugeni wa wapenzi wao, kwenye suala zima la ndoa ndo usiseme, kila day watu wanaoana, tunapokea mialiko, watu wanaveshana pete wakiwa wamepiga goti mbele ya mwanamke, watu wanapendeza wapitapo mbele ya wanawake, kuhusu Chaputa, nahisi mimi ndo member halisia, mliobaki humu ndani huenda mkawa members wa bandia a.k.a viroboti ama members hewa msemo wa Magufuri. Mara ooh, mwanamke hapaswi kuchekewa, huku mtaani mnakenua mpaka jino la mwisho, mpaka kimea kinaonekana. Mara aah, umiza mwanamke, huku mtaani kibao kinageuka, mnafumania na bado mnaomba msamaha. Mara iih, usimpe pesa mwanamke, mwanamke anatakiwa kupewa Giar no 2 bila kupunguza mwendo kwenye kituta, ila huku mtaani mnatoboka kupita maelezo

Hapa mtaani, kazini kwangu na sehemu nyinginezo ninakofahamika nimeonekana kuwa mwanaume wa tofauti sana, nilipokuwa napitia nyuzi za JF nilikuwa napata machungu makali mno dhidi ya mapenzi, ndoa na wanawake, ikafikia kipindi nikimuona mwanamke naona kama nimeona mbayuwayu, ikafikia kipindi wanawake wakawa wakiniona wanasimama kustaajabu kuwa mimi ni mtu wa namna gani, wengine walifikia hatua ya kuja usiku wa saa5 kuniazima ndoo za kuogea wakiwa na kangamoko, kila nilipowaona tu nilijawa na hasira pale nilipokumbuka uovu alioufanya Hawa dhidi ya Adamu wa kumpatia mwenzae ndogo, kitendo ambacho kilipelekea tufukuzwe Edeni, hivyo mkuyenge ulinywea nikajikuta nikifunga mlango kwa hasira na kurudi MMU kujaza sumu

Kumbe haya yote ni maisha ya kimtandao tu, kiuhalisia haya-make sense, non existence, tunawaponda tu humu JF, lakini mtaani tuko nao sambamba. Fuata mkia imeniponza, tazama nimechukiwa na wanawake wote mtaani na katika eneo langu la kazi, sina mteja wa kike sasa😭 Hata kununua nyapu kwa ajili ya kupunguza upwiru, siuziwi tena kwa sababu ya chuki binafsi dhidi ya wanawake

Alamsiki...
Wengi wetu ni ma keyboard warriors,ukiwafuata hutokula nyabe utakuwa unasikilizia harufu tu nakupiga punyeto masaa yote.
 
Back
Top Bottom