Per Diem
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 2,189
- 3,724
Nahisi juzi TFS kushutumiwa haikua bahati mbayaMbona hili ni janga jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi juzi TFS kushutumiwa haikua bahati mbayaMbona hili ni janga jamani
Ungejua uisilamu na ukiristu vilianzia wapi usingesema hivyo, hakuna dini iliyoanzia ulaya, zote zilianzia uarabuni.Malisa ni mbaguzi na mdini hasa,
Hapo naona anajadili uarabu
Wooyi! Bedui na misitu wapi na wapi?Mwezi February mwaka huu, Serikali ya Tanzania ilisaini hati ya makubaliano (MOU) na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya kutusaidia kuendeleza misitu yote nchini, inayosimamiwa na Wakala wa misitu (TFS). Yani waarabu wanaoishi Jangwani wanatusaidia kuendeleza misitu. Kwanini wasipande misitu kule kwao waondokane na Jangwa?
Nadhani kwenye suala la misitu sisi ndio tulitakiwa tuwasaidie waarabu sio wao watusaidie sisi. Sisi tuna misitu ya asili na misitu ya kupanda. Tuna mapori ya akiba na mapori tengefu. Tuna misitu ya mvua (Rain forest) misitu ya minene (tropical thick forest), na misitu hafifu (broadleaf forest). Yani kwa kifupi kuhusu misitu, mapori na masuala ya miti na utunzaji wake, hakuna wa kutuambia kitu. Tupo vizuri.
Waarabu wao ndio wanatakiwa waje wajifunze hapa kwetu kuhusu misitu. Na sisi ndio tunapaswa tuwasaidie ili waweze kuwa na misitu kule kwao au hata mapori ya akiba. Lakini eti wao ndio wanatusaidia sisi kuendeleza misitu? Yani watu wasio na msitu hata mmoja wana kipi cha kutusaidia sisi ambao tuna misitu na mapori kila wilaya? Hii ndio mara ya kwanza nasikia Mzaramo anataka kumfundisha Mmasai kuhusu ufugaji wa ngombe. Apaaa ndenga.!!
View attachment 2663245
Source: VPO | News
ccm ndiyo inatakiwa kubinafsishwa sasa. Uono wa viongozi wake ni wa mashaka makubwa sanaBaada ya Bandari kupewe Dp World na mjadala kuwa mzito sana kiasi cha kuacha mashaka pande zote.
Serikali mwaka huu ilisaini MoU na waarabu(UAE) kushirikiana nao kwenye misitu.
Juzi raisi aliinyooshea kidole TFS kuwa haifanyi vizuri, haileti tija. Je ushirikiano huu ni mwanzo wa mwisho wa TFS? Watashirikiana vipi kwenye mambo ya misitu? Kauli ya raisi ya karibuni ilikua inalenga hayo?
Mwisho kabisa tumekubali hatuwezi chochote ndio maana mwarabu aliye jangwani anakuja kukufanyia kazi za misitu?
View attachment 2663243
Tanzania yetu 🎵 🎶🎶🎶Baada ya Bandari kupewe Dp World na mjadala kuwa mzito sana kiasi cha kuacha mashaka pande zote.
Serikali mwaka huu ilisaini MoU na waarabu(UAE) kushirikiana nao kwenye misitu.
Juzi raisi aliinyooshea kidole TFS kuwa haifanyi vizuri, haileti tija. Je ushirikiano huu ni mwanzo wa mwisho wa TFS? Watashirikiana vipi kwenye mambo ya misitu? Kauli ya raisi ya karibuni ilikua inalenga hayo?
Mwisho kabisa tumekubali hatuwezi chochote ndio maana mwarabu aliye jangwani anakuja kukufanyia kazi za misitu?
View attachment 2663243
Ushirikiano kwenye misitu una shida gani? Hujui sasaivi nchi zinaingiza mapato kupitia uuzwaji wa hewa ya Carbon?Baada ya Bandari kupewe Dp World na mjadala kuwa mzito sana kiasi cha kuacha mashaka pande zote.
Serikali mwaka huu ilisaini MoU na waarabu(UAE) kushirikiana nao kwenye misitu.
Juzi raisi aliinyooshea kidole TFS kuwa haifanyi vizuri, haileti tija. Je ushirikiano huu ni mwanzo wa mwisho wa TFS? Watashirikiana vipi kwenye mambo ya misitu? Kauli ya raisi ya karibuni ilikua inalenga hayo?
Mwisho kabisa tumekubali hatuwezi chochote ndio maana mwarabu aliye jangwani anakuja kukufanyia kazi za misitu?
View attachment 2663243
Hapo ndipo penye shida. Wafanya maamuzi hawafanyi inavyopasa,....Hivi tufanyeje kama taifa maana wabunge hawatusaidii?
Washaanza kudahili waarabu mchangnyiko huko Monduli.Bado kuletewa IGP na CDF tuu
Mama...Mama sio shida.
Duh! Kweli CCM yauza nchi!Baada ya Bandari kupewe Dp World na mjadala kuwa mzito sana kiasi cha kuacha mashaka pande zote.
Serikali mwaka huu ilisaini MoU na waarabu(UAE) kushirikiana nao kwenye misitu.
Juzi raisi aliinyooshea kidole TFS kuwa haifanyi vizuri, haileti tija. Je ushirikiano huu ni mwanzo wa mwisho wa TFS? Watashirikiana vipi kwenye mambo ya misitu? Kauli ya raisi ya karibuni ilikua inalenga hayo?
Mwisho kabisa tumekubali hatuwezi chochote ndio maana mwarabu aliye jangwani anakuja kukufanyia kazi za misitu?
View attachment 2663243
Hii habari ina ukweli au huwa mnaleta taarifa kama hizi nyakati hii ili kuchochea kuni kama siyo kumwagia petroli kwenye huu moto wa DPW uliolipuka????Mwezi February mwaka huu, Serikali ya Tanzania ilisaini hati ya makubaliano (MOU) na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya kutusaidia kuendeleza misitu yote nchini, inayosimamiwa na Wakala wa misitu (TFS). Yani waarabu wanaoishi Jangwani wanatusaidia kuendeleza misitu. Kwanini wasipande misitu kule kwao waondokane na Jangwa?
Nadhani kwenye suala la misitu sisi ndio tulitakiwa tuwasaidie waarabu sio wao watusaidie sisi. Sisi tuna misitu ya asili na misitu ya kupanda. Tuna mapori ya akiba na mapori tengefu. Tuna misitu ya mvua (Rain forest) misitu ya minene (tropical thick forest), na misitu hafifu (broadleaf forest). Yani kwa kifupi kuhusu misitu, mapori na masuala ya miti na utunzaji wake, hakuna wa kutuambia kitu. Tupo vizuri.
Waarabu wao ndio wanatakiwa waje wajifunze hapa kwetu kuhusu misitu. Na sisi ndio tunapaswa tuwasaidie ili waweze kuwa na misitu kule kwao au hata mapori ya akiba. Lakini eti wao ndio wanatusaidia sisi kuendeleza misitu? Yani watu wasio na msitu hata mmoja wana kipi cha kutusaidia sisi ambao tuna misitu na mapori kila wilaya? Hii ndio mara ya kwanza nasikia Mzaramo anataka kumfundisha Mmasai kuhusu ufugaji wa ngombe. Apaaa ndenga.!!
View attachment 2663245
Source: VPO | News
Duh waarabu tunao awamu hii!Mwezi February mwaka huu, Serikali ya Tanzania ilisaini hati ya makubaliano (MOU) na Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya kutusaidia kuendeleza misitu yote nchini, inayosimamiwa na Wakala wa misitu (TFS). Yani waarabu wanaoishi Jangwani wanatusaidia kuendeleza misitu. Kwanini wasipande misitu kule kwao waondokane na Jangwa?