Kwenye suala la misitu Tanzania ndiyo tulitakiwa tuwasaidie UAE, sio wao watusaidie sisi

Wooyi! Bedui na misitu wapi na wapi?
 
ccm ndiyo inatakiwa kubinafsishwa sasa. Uono wa viongozi wake ni wa mashaka makubwa sana
 
Tanzania yetu 🎵 🎶🎶🎶
 
Ushirikiano kwenye misitu una shida gani? Hujui sasaivi nchi zinaingiza mapato kupitia uuzwaji wa hewa ya Carbon?

Kenya tu juzi kasaini mkataba na Saudi Arabia kuwauzia hewa ya Ukaa. Sasa sijui shida kwenu iko wapi?

Ndo mana kuna mdau anasemaga humu akili za kijamaa ni za kijinga sana.

Mmejaa ushamba tu. Mambo hamjui alafu mnakuwa judgemental!!
 
Ok walianza na Ngorongoro... ikaja bandari... jana tunaambiwa hata Tanesco kumbe walisha mpa muarabu.. leo TfS!!!! MUNGU tujalie uhai tuzidi kushuhudia zaidi
 
Duh! Kweli CCM yauza nchi!
 
Hii habari ina ukweli au huwa mnaleta taarifa kama hizi nyakati hii ili kuchochea kuni kama siyo kumwagia petroli kwenye huu moto wa DPW uliolipuka????
 
Kwa hiyo huyu mnywa urojo ameamua kuuza nchi yetu kwa wajomba zake 🤔🤔Mungu atuamulie hii kesi 🚶🚶🚶
 
Labda wanataka kuleta mavumbi msituni.
Misitu na waarabu wapi na wapi ?
 
Duh waarabu tunao awamu hii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…