Kwenye suala la Tozo, Rais Samia ataibukia hapa kuonesha ni msikivu

Hakuna pesa rahisi wala kipato kikubwa ,naona hii ni serikali ya kubembelezana kulipa kodi
 
Nimekuuliza hivi.

Unafahamu Laffer Curve ni nini?

Hujajibu.
Huu sio wakati wa kufanya uchambuzi wa curves ni muda wa kulipa kodi tutoke hapa tulipo kujadili vyoo miaka na mikaka.

Uchina hakuna upumbavu kama huo ,amri ikitoka ni utekelezaji ndio maana wapo hapo.
 
Nimeelewa kwa nini una support kodi na tozo hizi.

Wewe na serikali yako mnapenda sana kukubali vitu kabla ya kuangalia data.

Your willful ignorance is as alarming as your cockamamie confidence.
 
Nimeelewa kwa nini una support kodi na tozo hizi.

Wewe na serikali yako mnapenda sana kukubali vitu kabla ya kuangalia data.

Your willful ignorance is as alarming as your cockamamie confidence.
Wewe pumpkin head cha maana ulichochangia ni kitu gani pamoja kujinadi kujua kuchambua curves zaidi?
 
Wewe pumpkin head cha maana ulichochangia ni kitu gani pamoja kujinadi kujua kuchambua curves zaidi?
Wewe umeshindwa kujadili Laffer Curve naona unaniletea ushuzi tu hapa nakupeleka ignore list kabla hujachafua hali ya hewa.

Kuanzia hapa sitaona mchango wako wowote.

"Much success to you, even if you wish me the opposite.
Sooner or later we'll all see who the prophet is".

Nas - " Nas Is Like".
 
Kitu kisichokuwa na maana naanzaje kupoteza mda na nguvu kujadili?

Kwamba mkiachiwa vihela vyenu hivyo vitawasaidia nini cha maana ukilinganisha na kujaza kibaba zikajenga barabara,maji,madarasa nk?

Badala ya kujadili namna ya kufunga mikanda na kutatua changamoto za miaka na miaka unaleta porojo za curves,informal economy na curves wapi na wapi wewe mchambuzi feki
 
Unafahamu "Laffer Curve" ni nini?

Laffer Curve​

By
ADAM HAYES

Reviewed by
MICHAEL J BOYLE

Updated May 19, 2021

What Is the Laffer Curve?​

The Laffer Curve is a theory formalized by supply-side economist Arthur Laffer to show the relationship between tax rates and the amount of tax revenue collected by governments. The curve is used to illustrate the argument that sometimes cutting tax rates can result in increased total tax revenue.
 
Dah kweli we differ Mimi 500 ni kubwa ka laki hivi kwa kweli hzo tozo tuwaachie matajiri, tu ndo wanaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…