Teslarati JF-Expert Member Joined Nov 21, 2019 Posts 2,621 Reaction score 10,466 Nov 5, 2024 Thread starter #121 SAGAI GALGANO said: Kanikumbusha enzi za Kamanda Lyumba naye aliwakomesha sana wakubwa aliwatombea sana tena wengine alichanganya mama na binti, imagine mtu anakukazia wife wako na binti yako. Click to expand... Hebu tupe huu mkasa in full mkuu, ukipendezwa fungulia kabisa uzi Si ndo yule wa BOT alokua anagawa rav4 nyekundu?
SAGAI GALGANO said: Kanikumbusha enzi za Kamanda Lyumba naye aliwakomesha sana wakubwa aliwatombea sana tena wengine alichanganya mama na binti, imagine mtu anakukazia wife wako na binti yako. Click to expand... Hebu tupe huu mkasa in full mkuu, ukipendezwa fungulia kabisa uzi Si ndo yule wa BOT alokua anagawa rav4 nyekundu?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Nov 5, 2024 #122 Msanii said: Kataa ndoa 3 V/S Kubali ndoa 0 Click to expand... Ushindi ugenini na nyumbani
binti kiziwi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2014 Posts 11,201 Reaction score 28,642 Nov 5, 2024 #123 Chujio said: Sio mchezo, imagine aibu aliyowapa mke na wanae. Kwa kweli wanawake wana haki ya kwanza kukataa ndoa kama mtu mwenyewe ndio wa aina hii Click to expand... Si ndioo!
Chujio said: Sio mchezo, imagine aibu aliyowapa mke na wanae. Kwa kweli wanawake wana haki ya kwanza kukataa ndoa kama mtu mwenyewe ndio wa aina hii Click to expand... Si ndioo!
Kaveli JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 5,443 Reaction score 8,903 Nov 5, 2024 #124 Mie mwenyewe nimeghaili kuoa. WTF !!! 😎 -Kaveli-
Syolosu JF-Expert Member Joined Oct 18, 2019 Posts 868 Reaction score 1,016 Nov 5, 2024 #125 Sijui ni Maafisa wangapi hii ni alarm kwa waliyo yafanya ofisini .. kwamba ni huyo tu hapana tena kwa raha ya vyeo kupaa
Sijui ni Maafisa wangapi hii ni alarm kwa waliyo yafanya ofisini .. kwamba ni huyo tu hapana tena kwa raha ya vyeo kupaa
K Kontoro Senior Member Joined Apr 24, 2020 Posts 123 Reaction score 286 Nov 5, 2024 #126 binti kiziwi said: Kwasababu hiyo basi….. Kitu kinachoitwa umalaya hakitakaa kiishe. Tuache lawama tuendeleze game! Kama mwanaume anasifiwa umalaya maana yake inamtia moto kuendeleza umalaya, atafanya umalaya na nani??? (Hii argument ilianzia huko juu) Click to expand... Malaya ni mwanamke, mwanamme ni rijali. Tatizo lenu 50/50 inawalemaza na kudhani sifa za mwanamme ni sawa na sifa za mwanamke. Kuna sifa ambazo ni za mwanamke ambazo mwanamme Hana na Kuna sifa za mwanamme ambazo mwanamke Hana. Malaya ni sifa ya mwanamke. Rijali ni sifa ya mwanamme.
binti kiziwi said: Kwasababu hiyo basi….. Kitu kinachoitwa umalaya hakitakaa kiishe. Tuache lawama tuendeleze game! Kama mwanaume anasifiwa umalaya maana yake inamtia moto kuendeleza umalaya, atafanya umalaya na nani??? (Hii argument ilianzia huko juu) Click to expand... Malaya ni mwanamke, mwanamme ni rijali. Tatizo lenu 50/50 inawalemaza na kudhani sifa za mwanamme ni sawa na sifa za mwanamke. Kuna sifa ambazo ni za mwanamke ambazo mwanamme Hana na Kuna sifa za mwanamme ambazo mwanamke Hana. Malaya ni sifa ya mwanamke. Rijali ni sifa ya mwanamme.