Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mkuu inaonekana wewe ni Mtu Katili sana..Chadema ni Magaidi
Dawa yao ni Moja tu
JIWE aliwapa Raha sana hata yule dalali wa Siasa alilewa mpaka akavunjika mguu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu inaonekana wewe ni Mtu Katili sana..Chadema ni Magaidi
Dawa yao ni Moja tu
JIWE aliwapa Raha sana hata yule dalali wa Siasa alilewa mpaka akavunjika mguu
Wala mkuuMkuu inaonekana wewe ni Mtu Katili sana..
Leo yuko wapi ?JIWE aliwatia sana
Nampongeza sana
Chadema walishawahi kuteka mtu? Walishawahi kutesa mtu? Chadema wanakula pesa za umma?Wala mkuu
Ila Siku ukijua Chadema vizuri utatafuta hata Mkaa
Chama kimejaa watu wabaya sana wenye chuki, ushetani nk
Ipo siku utanielewa
Mmh!Binafsi Namshukuru kwa kazi nzuri ya kuwasafirisha kuzimu wahuni. Ameondoka na makumi ya wahuni walioinyonya nchi hii.
Hata mungu hakusubiri mwisho wa dunia ili aihukumu sodoma, alipoona uhuni wao umezidi Kiasi aliwamaliza.
Na nyie mko wap?Leo yuko wapi ?
Hapo mwisho hapoChadema walishawahi kuteka mtu? Walishawahi kutesa mtu? Chadema wanakula pesa za umma?
Au chadema wanauza Rasilimali za Taifa kwa Mabeberu?
Wewe ni mjinga. Tapeli na kundu. Watanzania Wana kero nyingi kwasasa ndiyo za kuwasaidia na si upumbavu unao andika hapa kwa chuki binafsi. Mawazo kafa hata Magufuli hajaapishwaTunaendelea na nyuzi zetu za mwezi huu wa 3, ambao ni Mwezi wa Mungu.
Kwenye utawala wa Awamu ya 5, ulioongozwa na Dkt. John Magufuli, Karibu viongozi wote wa Chadema wa ngazi zote walitekwa, walikamatwa, walijeruhiwa, waliuawa na walirundikwa selo ama walifungwa jela, kwa kesi za uongo ili kuwakomoa.
Wanaouliza kwanini tunayaleta haya leo , jibu lake ni hili , ni kwa sababu hatutaki uchafu huu urudiwe tena kwenye Nchi yetu nzuri, Never and Never again.
Alphonce Mawazo alikuwa kiongozi wa mwanzo kabisa kuuliwa baada ya awamu ya 5 kutwaa madaraka, huyu alipigwa mashoka kuliko hata yale wanayopigwa ng'ombe wa nyama machinjioni.
View attachment 2936409
Alphonce Mawazo ni miongoni mwa watu walioua CCM Kanda ya Ziwa, hii ndio sababu kubwa ya kuuawa kwake , serikali ya Jiwe ikazuia mazishi yake kwa siku kadhaa , yaani wamemuua lakini hawataki azikwe , Mawazo anaingia kwenye historia ya Taifa kuwa mwanasiasa wa kwanza kuzikwa kwa Hati ya Mahakama .
Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa akisema kwamba anayekula nyama ya mtu haachi, hakika ndivyo ilivyokuwa, baada ya Mawazo mambo ya kukamata viongozi wa Chadema yakashika kasi, Godbless Lema akakamatwa na kupewa kesi na kisha kunyimwa dhamana kwa tuhuma za kutoa unabii hadharani , hata hivyo unabii huo ulikuja kutimia bila hata kupunja .
View attachment 2936423View attachment 2936426
Kama haitoshi viongozi wa Chadema wakaanza kuwindwa na kukamatwa kama kuku wa Pasaka, Tundu Lissu akapigwa risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua, ikaelekezwa azikwe haraka na hotuba ya kusomwa kwenye mazishi yake ikaandaliwa.
Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu akakamatwa na kufungwa jela kwa kesi ya uongo, Hakimu aliyemfunga jela Michael Mteite akapandishwa cheo.
View attachment 2936433View attachment 2936434
Viongozi wote wa Chadema Tunduma walikamatwa akiwemo Meya wa Mji huo Ally Mwafongo na kupewa kesi ya uzushi ya mauaji, yaani viongozi 57 wote wanadaiwa kuua mtu mmoja tu wa CCM haya ndio mambo ya awamu ya 5.
Mdude akatekwa na kuteswa nusu ya kufa, shukrani ziwaendee Wazungu walioingilia kati hadi akapatikana.
Karibu viongozi wote wa Kamati Kuu ya Chadema akiwemo Freeman Mbowe walikamatwa na kuswekwa gerezani kwa tuhuma za uongo za kusababisha mauaji ya Akwilina, Ambaye alipigwa risasi na Polisi chini ya Lazaro Mambosasa aliyekuwa RPC, viongozi wa Chadema wakahukumiwa kifungo au kulipa faini ya Mamilioni ya hela za kitanzania, unaweza kushangaa walioua ni Polisi, lakini waliohukumiwa ni Chadema!
Hivyo ndivyo Hakimu Thomas Simba alivyoona, Shukrani sana kwa Watanzania walioamua kuchanga fedha zao ili viongozi hao wa Chadema wasiozee jela
Wanachadema waliopotea, kuteswa na kufungwa ni wengi, akiwemo Bernard Saa Nane ambaye hadi leo hajulikani aliko
Nitasema kweli Daima fitina kwangu mwiko
Samahani, sijalielewa swali lako mkuu. FafanuaHata Melo alikuwa na Case.......maskini unamuonea Huruma kwani Melo alikuwa na kosa gani?
Wewe ni mjinga. Tapeli na kundu. Watanzania Wana kero nyingi kwasasa ndiyo za kuwasaidia na si upumbavu unao andika hapa kwa chuki binafsi. Mawazo kafa hata Magufuli hajaapishwa
Njia pekee na sahihi kudeal nawahuni ni kuwatanguliza kuzimu, hakuna namna.Mmh!
Namanisha case za melo zilikuwa hazina kichwaSamahani, sijalielewa swali lako mkuu. Fafanua
Inaonekana wewe ni mtu katili sanaNjia sahihi kudeal nawahuni ni kifo tu hakuna namna.
Kongole to Dr Samia Suluhu HassanLakini mama amerejesha democrasia na amani, yote yamebaki historia. Mama anaupiga mwingi
Kwa maovu haya ndiyo maana DIKTETA hakuchukua muda mrefu Mungu akampeleka jehanamTunaendelea na nyuzi zetu za mwezi huu wa 3, ambao ni Mwezi wa Mungu.
Kwenye utawala wa Awamu ya 5, ulioongozwa na Dkt. John Magufuli, Karibu viongozi wote wa Chadema wa ngazi zote walitekwa, walikamatwa, walijeruhiwa, waliuawa na walirundikwa selo ama walifungwa jela, kwa kesi za uongo ili kuwakomoa.
Wanaouliza kwanini tunayaleta haya leo , jibu lake ni hili , ni kwa sababu hatutaki uchafu huu urudiwe tena kwenye Nchi yetu nzuri, Never and Never again.
Alphonce Mawazo alikuwa kiongozi wa mwanzo kabisa kuuliwa baada ya awamu ya 5 kutwaa madaraka, huyu alipigwa mashoka kuliko hata yale wanayopigwa ng'ombe wa nyama machinjioni.
View attachment 2936409
Alphonce Mawazo ni miongoni mwa watu walioua CCM Kanda ya Ziwa, hii ndio sababu kubwa ya kuuawa kwake , serikali ya Jiwe ikazuia mazishi yake kwa siku kadhaa , yaani wamemuua lakini hawataki azikwe , Mawazo anaingia kwenye historia ya Taifa kuwa mwanasiasa wa kwanza kuzikwa kwa Hati ya Mahakama .
Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa akisema kwamba anayekula nyama ya mtu haachi, hakika ndivyo ilivyokuwa, baada ya Mawazo mambo ya kukamata viongozi wa Chadema yakashika kasi, Godbless Lema akakamatwa na kupewa kesi na kisha kunyimwa dhamana kwa tuhuma za kutoa unabii hadharani , hata hivyo unabii huo ulikuja kutimia bila hata kupunja .
View attachment 2936423View attachment 2936426
Kama haitoshi viongozi wa Chadema wakaanza kuwindwa na kukamatwa kama kuku wa Pasaka, Tundu Lissu akapigwa risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua, ikaelekezwa azikwe haraka na hotuba ya kusomwa kwenye mazishi yake ikaandaliwa.
Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu akakamatwa na kufungwa jela kwa kesi ya uongo, Hakimu aliyemfunga jela Michael Mteite akapandishwa cheo.
View attachment 2936433View attachment 2936434
Viongozi wote wa Chadema Tunduma walikamatwa akiwemo Meya wa Mji huo Ally Mwafongo na kupewa kesi ya uzushi ya mauaji, yaani viongozi 57 wote wanadaiwa kuua mtu mmoja tu wa CCM haya ndio mambo ya awamu ya 5.
Mdude akatekwa na kuteswa nusu ya kufa, shukrani ziwaendee Wazungu walioingilia kati hadi akapatikana.
Karibu viongozi wote wa Kamati Kuu ya Chadema akiwemo Freeman Mbowe walikamatwa na kuswekwa gerezani kwa tuhuma za uongo za kusababisha mauaji ya Akwilina, Ambaye alipigwa risasi na Polisi chini ya Lazaro Mambosasa aliyekuwa RPC, viongozi wa Chadema wakahukumiwa kifungo au kulipa faini ya Mamilioni ya hela za kitanzania, unaweza kushangaa walioua ni Polisi, lakini waliohukumiwa ni Chadema!
Hivyo ndivyo Hakimu Thomas Simba alivyoona, Shukrani sana kwa Watanzania walioamua kuchanga fedha zao ili viongozi hao wa Chadema wasiozee jela
Wanachadema waliopotea, kuteswa na kufungwa ni wengi, akiwemo Bernard Saa Nane ambaye hadi leo hajulikani aliko
Nitasema kweli Daima fitina kwangu mwiko
Mkuu umesema kweli. Bado mijitu kama Lissu, Mdude unakuta wakipanda jukwaani hawaishi kumtukana Rais Samia.Lakini Bado hamtoi shukrani Kwa Samia kukomesha hayo.
Niliona video Moja Sugu anayembelea Tanganyika jeki nilicheka sana 🤪🤪🤪🤪
Kumebadilika nini raisi Samia,makamo Mpango,pm Majaliwa nini kimebadilika au chadema wapo madarakani!Awamu ya tano wewe na yule wa kujiita Stroke mlisherehekea ukatili kila siku humu. Awamu hii imekutengeni mnaisoma namba tu. Naona tukilalamikia tabu zinazosababishwa na serikali tupo pamoja nanyi sasa. Adabu itawakaa.