Kwenye Utawala wa awamu ya 5, Viongozi wa Chadema walikamatwa, walitekwa, walifungwa jela, walipotezwa, walijeruhiwa na wengine waliuawa

Binafsi Namshukuru kwa kazi nzuri ya kuwasafirisha kuzimu wahuni. Ameondoka na makumi ya wahuni walioinyonya nchi hii.

Hata mungu hakusubiri mwisho wa dunia ili aihukumu sodoma, alipoona uhuni wao umezidi Kiasi aliwamaliza.

Aliyoyafanya uncle ni kama alipanda mbegu tu, Tusubiri miche ichipue. Wahuni watendelea kupata tabu ileile.

NIMEMIS SANA KUSIKIA HABARI ZA WAHUNI KUOKOTWA KWENYE VIROBA
 
Binafsi Namshukuru kwa kazi nzuri ya kuwasafirisha kuzimu wahuni. Ameondoka na makumi ya wahuni walioinyonya nchi hii.

Hata mungu hakusubiri mwisho wa dunia ili aihukumu sodoma, alipoona uhuni wao umezidi Kiasi aliwamaliza.
Mmh!
 
Chadema walishawahi kuteka mtu? Walishawahi kutesa mtu? Chadema wanakula pesa za umma?

Au chadema wanauza Rasilimali za Taifa kwa Mabeberu?
Hapo mwisho hapo

Chadema ndio vibaraka wa wezi wa mali za umma

Akiongozwa na Mbombo ngafu Makelele wa Ubeljiji
 
Tunaendelea na nyuzi zetu za mwezi huu wa 3, ambao ni Mwezi wa Mungu.

Kwenye utawala wa Awamu ya 5, ulioongozwa na Dkt. John Magufuli, Karibu viongozi wote wa Chadema wa ngazi zote walitekwa, walikamatwa, walijeruhiwa, waliuawa na walirundikwa selo ama walifungwa jela, kwa kesi za uongo ili kuwakomoa.

Wanaouliza kwanini tunayaleta haya leo , jibu lake ni hili , ni kwa sababu hatutaki uchafu huu urudiwe tena kwenye Nchi yetu nzuri, Never and Never again.

Alphonce Mawazo alikuwa kiongozi wa mwanzo kabisa kuuliwa baada ya awamu ya 5 kutwaa madaraka, huyu alipigwa mashoka kuliko hata yale wanayopigwa ng'ombe wa nyama machinjioni.

View attachment 2936409

Alphonce Mawazo ni miongoni mwa watu walioua CCM Kanda ya Ziwa, hii ndio sababu kubwa ya kuuawa kwake , serikali ya Jiwe ikazuia mazishi yake kwa siku kadhaa , yaani wamemuua lakini hawataki azikwe , Mawazo anaingia kwenye historia ya Taifa kuwa mwanasiasa wa kwanza kuzikwa kwa Hati ya Mahakama .

Mwl Nyerere aliwahi kunukuliwa akisema kwamba anayekula nyama ya mtu haachi, hakika ndivyo ilivyokuwa, baada ya Mawazo mambo ya kukamata viongozi wa Chadema yakashika kasi, Godbless Lema akakamatwa na kupewa kesi na kisha kunyimwa dhamana kwa tuhuma za kutoa unabii hadharani , hata hivyo unabii huo ulikuja kutimia bila hata kupunja .

View attachment 2936423View attachment 2936426

Kama haitoshi viongozi wa Chadema wakaanza kuwindwa na kukamatwa kama kuku wa Pasaka, Tundu Lissu akapigwa risasi zisizo na idadi kwa lengo la kumuua, ikaelekezwa azikwe haraka na hotuba ya kusomwa kwenye mazishi yake ikaandaliwa.

Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu akakamatwa na kufungwa jela kwa kesi ya uongo, Hakimu aliyemfunga jela Michael Mteite akapandishwa cheo.

View attachment 2936433View attachment 2936434

Viongozi wote wa Chadema Tunduma walikamatwa akiwemo Meya wa Mji huo Ally Mwafongo na kupewa kesi ya uzushi ya mauaji, yaani viongozi 57 wote wanadaiwa kuua mtu mmoja tu wa CCM haya ndio mambo ya awamu ya 5.

Mdude akatekwa na kuteswa nusu ya kufa, shukrani ziwaendee Wazungu walioingilia kati hadi akapatikana.

Karibu viongozi wote wa Kamati Kuu ya Chadema akiwemo Freeman Mbowe walikamatwa na kuswekwa gerezani kwa tuhuma za uongo za kusababisha mauaji ya Akwilina, Ambaye alipigwa risasi na Polisi chini ya Lazaro Mambosasa aliyekuwa RPC, viongozi wa Chadema wakahukumiwa kifungo au kulipa faini ya Mamilioni ya hela za kitanzania, unaweza kushangaa walioua ni Polisi, lakini waliohukumiwa ni Chadema!

Hivyo ndivyo Hakimu Thomas Simba alivyoona, Shukrani sana kwa Watanzania walioamua kuchanga fedha zao ili viongozi hao wa Chadema wasiozee jela

Wanachadema waliopotea, kuteswa na kufungwa ni wengi, akiwemo Bernard Saa Nane ambaye hadi leo hajulikani aliko

Nitasema kweli Daima fitina kwangu mwiko
Wewe ni mjinga. Tapeli na kundu. Watanzania Wana kero nyingi kwasasa ndiyo za kuwasaidia na si upumbavu unao andika hapa kwa chuki binafsi. Mawazo kafa hata Magufuli hajaapishwa
 
Lakini mama amerejesha democrasia na amani, yote yamebaki historia. Mama anaupiga mwingi
 
Kwa maovu haya ndiyo maana DIKTETA hakuchukua muda mrefu Mungu akampeleka jehanam
 
Oops! We ran into some problems

You do not have permission to view this page or perform this action.
 
Awamu ya tano wewe na yule wa kujiita Stroke mlisherehekea ukatili kila siku humu. Awamu hii imekutengeni mnaisoma namba tu. Naona tukilalamikia tabu zinazosababishwa na serikali tupo pamoja nanyi sasa. Adabu itawakaa.
Kumebadilika nini raisi Samia,makamo Mpango,pm Majaliwa nini kimebadilika au chadema wapo madarakani!
 
Back
Top Bottom