dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,753
- 18,781
Nimeona nilete hojq hapa kama nilivyo ona sehemu fln wakija dili watu ambao ni vikwazo kwa inch hii.
Hapa inapazwa uweke picha ya muhusika tu kisha usiandike chochote kisha sepa zako muhusika itamfikia hbr hii kwa namna fln hata kama hatumii mitandao ya kijamii
Karibuni sasa tu share picha zao mm naanza na hawa