Kwenye uzi huu weka picha ya mtu ,kiongozi unae dhani kuwa ni tatizo hapa nchini

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,753
Reaction score
18,781
Nimeona nilete hojq hapa kama nilivyo ona sehemu fln wakija dili watu ambao ni vikwazo kwa inch hii.

Hapa inapazwa uweke picha ya muhusika tu kisha usiandike chochote kisha sepa zako muhusika itamfikia hbr hii kwa namna fln hata kama hatumii mitandao ya kijamii
Karibuni sasa tu share picha zao mm naanza na hawa
 

Attachments

  • IMG_20250504_235916.jpg
    19.4 KB · Views: 22
Huyu
 

Attachments

  • Screenshot_20250505_034149_Opera Mini.jpg
    48.8 KB · Views: 23
Huyu anatumika kama powerhouse ya kutu'deceive na kujifanya Hana upande. Amechagua kuwa upande wa watawala kwa kisingizio cha kalamu na mic 🎀 🎀 🎀 🎀 πŸŽ™οΈ
 

Attachments

  • Screenshot_2025-05-05-04-58-08-115-edit_com.google.android.googlequicksearchbox.jpg
    307.6 KB · Views: 23
Huyu anatumika kama powerhouse ya kutu'deceive na kujifanya Hana upande. Amechagua kuwa upande wa watawala kwa kisingizio cha kalamu na mic 🎀 🎀 🎀 🎀 πŸŽ™οΈ
Ungeweka picha yake na kusepa
 
Serikali yote ya majambaz maccm yote ni matatzo makubwa kwny taifa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…