Kwenye vijiwe vya boda boda kuna mambo ya ovyo sana

Kwenye vijiwe vya boda boda kuna mambo ya ovyo sana

daaah mwananguu ni shidaaaah me nakumbuka nilipo kuwa boda kuna mwanangu alikuwa na tabia hiyohiy siku moja nimpakia ni boda mwenzang nilipo mpakia akawa ananishika kiunoo duu niliwazaa sanaaaa nikajuwa huyu koro na siku nikiendag kwake anadai nilale nae daaah me si nishajuwa ni koro ila sijajuwa nani anafanywaaaa hahaha aaaaaa msalaaaaa
 
Akaja kubugi kugombea ubunge kinyume na utashi wa boss wake,, 😁katika vitu jpm hakupenda ni mtu kwenda tofauti na alivyotaka yeye
Honestly nilijua baada ya kushindwa kwenye kura ya maoni angemrudishwa lakini ikawa tofauti.
 
Habari za jion

Sorry mimi sio mtaalamu sana wa kuandika kiswahili naomba tuvumiliane

Naenda direct leo nilikuwa nimeenda sehemu fulani uko wakati na naludi usafiri ulikuwa unasumbua ikabidi nisubilie kwenye kijiwe cha boda boda ndipo nikaaza kuona vimbwanga

Boda boda mmoja akawa amemkumbatia mwezake uku ana mnonya shingo nikashangaa sana walivyo ona nawatolea macho waka stop

Nikapiga jicho pengine naona mwingine ana anza mtekenya mwezie nae mwizie anacheka yaani kafulahishwa na hicho kitendo nikawa nadua tu

Hapaja kaa sawa nawaona wale wa mwazoni wana anza tena nikawa nataman kuwauliza nini kinaendelea hapa hila nikasema sio watoto wangu kazi kwako

Nimeamini leo kuwa kwenyee hivyo vijiwe hayo mambo yapo mengi sana af watoto wakiume now wameona ndio mchezo
Unajua maana ya neno mswahili
 
Mara nyingi mkikutana kwenye mishe hasa watu ambao mmekaribiana umri huwa na ujinga mwingi sana.
hii hata wazee,
pia mashuleni etc.
Usitake kusema na ww ukikutana na watu wa rika yako unaweza kufanya michezo hiyo?
 
Wengi wao ni magenge ya wahuni, kukaa bila kazi siku nzima inawaletea mawazo ya hovyo
(Idle mind is a workshop of satan)

Na wengi wanaharasi watu wakipita kuwapigia miluzi na maneno machafu

(Mashambulio ya aibu)

Boda wengi ni majipu. Hasa hawa wenye umri mdogo!

Aibu tupu.

Miaka michache ijayo itakua migumu sana kwa jinsia ya me!
 
Back
Top Bottom