Kwenye vijiwe vya boda boda kuna mambo ya ovyo sana

daaah mwananguu ni shidaaaah me nakumbuka nilipo kuwa boda kuna mwanangu alikuwa na tabia hiyohiy siku moja nimpakia ni boda mwenzang nilipo mpakia akawa ananishika kiunoo duu niliwazaa sanaaaa nikajuwa huyu koro na siku nikiendag kwake anadai nilale nae daaah me si nishajuwa ni koro ila sijajuwa nani anafanywaaaa hahaha aaaaaa msalaaaaa
 
Akaja kubugi kugombea ubunge kinyume na utashi wa boss wake,, 😁katika vitu jpm hakupenda ni mtu kwenda tofauti na alivyotaka yeye
Honestly nilijua baada ya kushindwa kwenye kura ya maoni angemrudishwa lakini ikawa tofauti.
 
Unajua maana ya neno mswahili
 
Mara nyingi mkikutana kwenye mishe hasa watu ambao mmekaribiana umri huwa na ujinga mwingi sana.
hii hata wazee,
pia mashuleni etc.
Usitake kusema na ww ukikutana na watu wa rika yako unaweza kufanya michezo hiyo?
 
Wengi wao ni magenge ya wahuni, kukaa bila kazi siku nzima inawaletea mawazo ya hovyo
(Idle mind is a workshop of satan)

Na wengi wanaharasi watu wakipita kuwapigia miluzi na maneno machafu

(Mashambulio ya aibu)

Boda wengi ni majipu. Hasa hawa wenye umri mdogo!

Aibu tupu.

Miaka michache ijayo itakua migumu sana kwa jinsia ya me!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…