Kwenye vijiwe vya boda boda kuna mambo ya ovyo sana

Vijana wanaisha
 
Basi shida kuna muda nasema mtoto wangu akikua akasome nje uko au ni mfwate mpaka darasani nakosa jibu
Mithali 22:6 Mlee mtoto katika njia impasayo, Naye hataiacha, hata atakapokuwa mzee.


Silaha kubwa kwa mtoto wako ni Mungu, akimcha Mungu hatakua peke yake.

Wewe huwezi kuwa nae wakat wa majaribu

(Ukimpeleka nje huko ndo kumeharibika kumeoza)

Haya yote yanatokea maana watu wamemsahau Mungu
 
wanaongoza kuwa na matatizo ni bodaboda na sababu hizi:
-waliokosa ajira
-wezi na watu wabaya
 
U
sikute hizo pea mwanaume ni yule mwenye boda mwingine wake hupewa day wako so anabembeleza kwa kutekenywa au kuny oon ywaa. Mungu atuokoe. Tunateketea.
 
Wache wawe mashosti competition ipungue. Wale boda wenzao mashababi wasumbufu sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…