Kwenye vijiwe vya kahawa, kashata kachori na pweza hivi sasa stori kubwa ni Rais Samia

Kusema ukweli kwa kazi mama anapiga siwezi sema anastahili hongera kwasababu naona tayari anayo ila tu mfikishieni salamu nampenda sana kifupi anapendwa kila kona ya nchi hata ukija huku mkoani kwakweli mama Samia anatrend sana, Mungu ampe wepesi kwenye kazi zake.




MAGUFULI4LIFE.
 
Tumfanye awe Rais wa maisha na hata akifa aendelee tu kutawala maana hana mpinzani na kupambana nae ni kupoteza muda fu.
 
Bara la Afrika ukiwa na Akili timamu fanya kila njia utimkie nje,ukibaki kwenye hili Bara lililojaa watu wajinga na wendawazimu nakuhakikishia UTAIPANDEKA!
Ni kweli usemayo. Wapumbavu ndiyo wanaongoza nchi kwa sapoti ya mapumbavu walio wengi.
 
Unapenda sana kuandika lakini udhaifu wako mkubwa ni kutojua kupangilia point zako zikaeleweka vizuri.Una tatizo pia la kutokujua matumizi sahihi ya alama na wapi uanze na herufi kubwa.Fanyia kazi hili kwakuwa unaonekana umewekeza sana kwenye kutuletea Threads ndefu kila mara.
 
ndoto zako za usingizi wa kwenye daladala 🤣
Tindo alishachanganyikiwa na kuchanganywa na uchapa kazi wa Rais samia na kasi ya mh Rais katika kuwaletea maendeleo wananchi.ndio maana alishabakia anapuyanga tu na vimaneno vyake vya kwenye keyboard akiwa kajificha chumbani kwake. Ukimwambia andamana unaona anakwenda kujificha vichakani na mvuta Bangi mwenzake mdude😄😄
 
Uchawa umerasimishwa huko CCM
 
Hivi shida ni Nini mwe!!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…