Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #61
ni vizuri ukaacha kabisa kijana, halafu wewe kwanza ukipunguza bado utakua chini ya minyororo mateso ya walio kuteka hiyo mindset....Vijana tupunguze matumizi ya bangi sio mazuri kwa afya.
Jitahidi uache bangi wewe kwanza bana, umekua mkubwa sasa unaweza kuwaza na kuamua ukiwa huru