Kwenye vilabu vya Simba na Yanga ni nani mwenye mamlaka ya kufukuza kocha au kuleta kocha mpya?

labda ng'ombe.akilia tuu moooo ndio kaamua.
 
Unaweza kuta nae anauzwa kama wachezaji tu. Watu wanapiga hela kisha wanamruhusu kuachana na mkataba wake.
 
Kama unalipa wewe mshahara unamfukuza muda wowote tu
 
Watanzania kwa ujuaji, mtu kapata malisho mazuri kaomba kuvunja mkataba wake, sisi tumekazania ooh kocha kafukuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…