muokotamatunda
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,614
- 1,202
labda ng'ombe.akilia tuu moooo ndio kaamua.Wakuu swali limejieleza vizuri sana , sasa naomba kufahamishwa mwenye mamlaka ya kuleta kocha na kutimua , na huwa wanatumia vigezo gani ?
Taarifa nyingi za kutimuliwa kwa makocha wa vilabu hivi tunazipata bila hata kusikia vikao vya uongozi wa vilabu husika , Baada ya Kishingo kuachia ngazi baadhi ya viongozi wa Simba akiwemo Mwina Kaduguda walipoulizwa walidai kwamba hawajui chochote , sasa kama hawa viongozi hawajui chochote ni nani anayefanya maamuzi ?