Kwenye viota cya starehe kuna vitoto vingi sana under 18 vinajiuza

Kwenye viota cya starehe kuna vitoto vingi sana under 18 vinajiuza

Wengine hata hawana wazazi , wengine ndio wanawatunza wazazi wao, mzazi ni mgonjwa hana pesa ya matabibu na chakula , hiyo nguvu ya kuhoji kazi ya mtoto inayompatia mlo anaitoa wapi?

N.b kuwasaidia wape tu kiasi cha pesa bila hata kuichapa bwashee.
 
Mimi na wewe tunaweza but vipi kuhusu vijana wa Generation Zoomer ( 1996- 2005) ambao ndio wengi Kenya viota vya starehe wanaweza kufanya hivyo?
 
Kufanya hiyo kazi et kisa ni umaskini pia ni fikra maskini Kwan wanaofungua magenge au kuuza juice wao hawajaona hiyo kazi? Et sababu kwetu maskini au nasaidia wazaz bas kazi ndo nifanye iyo kazi ? Maadili maadii maadili na kua na makundi ya ovyo watoto wakike tunapenda maisha fulan yakupata vitu vizur Kwa haraka mtu anaona kufungua kijiwen Cha kupika chai supu na chapat sio hadhi yake wenzie watamcheka anakutana na watu wanashauriana et kule pesa IPO ya haraka sawa ya haraka ila matokeo yake yakoje na utaifanya Kwa mda gan kwenye maisha yako?
 
Kufanya hiyo kazi et kisa ni umaskini pia ni fikra maskini Kwan wanaofungua magenge au kuuza juice wao hawajaona hiyo kazi? Et sababu kwetu maskini au nasaidia wazaz bas kazi ndo nifanye iyo kazi ? Maadili maadii maadili na kua na makundi ya ovyo
Kuna wenye magenge na wanaouza juice ila ndani ya hiyo biashara wanauza miili pia 🤔 kuna dada mmoja kipindi cha nyuma nilishawahi mhoji kwenye viunga vya vya starehe akaniambia yeye siku kalaza pesa ndogo ni 50 , kajenga anasomesha wadogo zake na kausafiri kakuzugia anacho🤔
 
Wengine hata hawana wazazi , wengine ndio wanawatunza wazazi wao, mzazi ni mgonjwa hana pesa ya matabibu na chakula , hiyo nguvu ya kuhoji kazi ya mtoto inayompatia mlo anaitoa wapi?

N.b kuwasaidia wape tu kiasi cha pesa bila hata kuichapa bwashee.
Bila kuichapa uongo
 
Mi nafikiria nitarudi vipi Musoma. Watu kule ni wakali sana kuhusu watoto.
Sasa unaniambia watoto wanajiuza.
 
Back
Top Bottom