Kwenye viota cya starehe kuna vitoto vingi sana under 18 vinajiuza

Kwenye viota cya starehe kuna vitoto vingi sana under 18 vinajiuza

Wengine hata hawana wazazi , wengine ndio wanawatunza wazazi wao, mzazi ni mgonjwa hana pesa ya matabibu na chakula , hiyo nguvu ya kuhoji kazi ya mtoto inayompatia mlo anaitoa wapi?

N.b kuwasaidia wape tu kiasi cha pesa bila hata kuichapa bwashee.
Hayo ni matokea ya kufeli kwa mwanaume wa kitanzania
 
Tatizo watoto wanawai kujitegemea mapena
Tatizo litakuwa nini? Umasikini, ukosefu wa maadili au fasheni?

Coz unajiuliza huyu mtoto wa miaka 16 ambae saa Tisa usiku yupo club ana jiuza ni kwamba wazazi wake wanakuwa hawajui mtoto wao Yupo wapi muda huo?
 
Vitoto vina tamaa sana ya vitu kama pesa, simu, nguo kali n.k

Siku hivi vimeona njia rahisi ya kupata hivyo vitu ni kuuza nyuchi vinaliwa hadi backdoor

Ila mtoto kutoka nyumbani kwa wazazi wake usiku na kwenda viwanjani hapo wa kulaumiwa ni wazazi hasa baba

Mwisho wa siku wanaume watafute hela hata kama sio ya malezi ile kishefa lakini binti apate mahitaji yake yote muhimu vishawishi ni vingi

Njaa na umasikini ni vibaya sana
​
 
Back
Top Bottom